Anazidiwa na taasisi ya mama sema na mjukuu wako?Hiyo taasisi ya Mwalimu Nyerere ameiua, imekuwa kama kikkao cha ukoo wa wazanaki tu. Yaani inazidiwa na vitaasisi vilivyoanzishwa na watoto wadogo wa juzi.
Amekuwa kiongozi wa taasisi asiye na kikomo cha muda wa uongozi, wafadhili wameikimbia taasisi kwa sababu ya ufisadi mkubwa.
Vipi katia mchanga kitumbua?Hiyo taasisi ya Mwalimu Nyerere ameiua, imekuwa kama kikkao cha ukoo wa wazanaki tu. Yaani inazidiwa na vitaasisi vilivyoanzishwa na watoto wadogo wa juzi.
Amekuwa kiongozi wa taasisi asiye na kikomo cha muda wa uongozi, wafadhili wameikimbia taasisi kwa sababu ya ufisadi mkubwa.
Tutakinukisha!CCM wanajua mno kuiba kura. Watashinda tu.
Wewe ndio huna akili kabisa!.Huyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Vitoto vya juzi utavijua tuu, kama hujui mchango wa mzee butiku katika taifa hili wewe kweli bado mtoto sana hujielewiHuyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Ndio upeo wako ulipoishiaHuyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Wewe ulishafanya nini cha maana?Huyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Wewe ni juha.Huyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Mzee Butiku Bwana...eti Rais wenu!!
Tumia kichwa kufikiri, sio kubebea kamasiWewe ni juha.
Kama huna hoja ya kuandika kujibu hoja yake, ni kheri ukakaa kimya kuliko kuonyesha ujuha wako ulivyo wa kiwango kikubwa.
Wanaccm wote wanatoa rushwa wakati wa uchaguzi.wengine tuliwahi kujipenyeza kwenye kampeni za nyumba kwa usiku.sasa jiulize kampeni za usiku ni kampeni gani hizo?jibu ni za kushawishi wajumbe kwa rushwa.Naona Mzee, kashindwa kuvumilia..ila Mama hizo hela za fomu mbona zimekuwa nyingi hivyo..hebu nipunguzie na mimi basi, zinistiri huku Iguguno
Hana mchango wowote, mchango pekee alio nao ni kuua vyama vya ushirika. Huyu Butiku enzi ya Nyanza Cooperative Union ina nguvu, alienda Mwanza Hotel, akawa anapata kinywaji, akamuona binti mkaali balaa, akamtongoza, binti akagoma, akasema Butiku atampa nini wakati yeye(binti) anatoka na Afisa wa Nyanza. Kwanza akauliza Butiku ndio nani nchi hii.Vitoto vya juzi utavijua tuu, kama hujui mchango wa mzee butiku katika taifa hili wewe kweli bado mtoto sana hujielewi
sijui hata nikutukane tusi gani we mpumbavu.Hana mchango wowote, mchango pekee alio nao ni kuua vyama vya ushirika. Huyu Butiku enzi ya Nyanza Cooperative Union ina nguvu, alienda Mwanza Hotel, akawa anapata kinywaji, akamuona binti mkaali balaa, akamtongoza, binti akagoma, akasema Butiku atampa nini wakati yeye(binti) anatoka na Afisa wa Nyanza. Kwanza akauliza Butiku ndio nani nchi hii.
Butiku mbio kwa Nyerere, akaenda kumjaza ujinga kwamba kuna watu/taasisi zina nguvu kuliko Rais, na wanachi wanaziheshimu kuliko Rais. Nyerere kusikia hivyo, na alivyokuwa na hofu ya madaraka, kavunja vyama vyote vy ushirika, akaviweka chini ya serikali.
Yaliyobaki ni historia, ambayo huwezi kuacha kuioanisha na kilio cha wakulima na kilimo nchi hii.
Achana na huyo mjinga.sijui hata nikutukane tusi gani we mpumbavu.
Nyankundosijui hata nikutukane tusi gani we mpumbavu.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa.
Butiku ameyasema hayo katika Kongamano la Miaka Mitatu ya Taasisi ya Kizalendo ya Tanzania Patriotic Organisation (TPO) lililofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar es Salaam.
Katika ufunguzi wa Kongamano hilo Taasisi ya Tanzania Patriotic Organisation nayo haikusita kukemea ubadhirifu na rushwa huku ikiwataka Watanzania kuwa wamoja na wazalendo wanaposimamia mali za umma
Pia soma:
- Kuelekea 2025 - A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025
- Kuelekea 2025 - Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka
- Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025
- Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025
- Kuelekea 2025 - UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025