Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Unamwambiaje mjinga mzee mwenye umri wa baba yako au hata zaidi, Ujinga wake nini hapo, au kukemea rushwa ndio ujinga?Huyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Dah, yawezekana kuna member aliwahi kuwa na ID zinazotaka kufanana na hii huko kabla, sawa mkuu.Mimi chadema damu damu
Huo ndio urefu wa kamba yake, acha ale kwani mwenyewe ndivyo anavyopenda.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka
Ujinga wake uko wapi?Tanzania Rushwa Iko juu sanaHuyu mzee ni mjinga, halafu huwa anajiona ana akili sana. Ukimuuliza alishafanyoa nini nchi hii, hakuna
Kuendelea kwa Samia baada ya 2025 itakuwa ni mwanzo wa kuibadili kabisa Tanzania toka iwepo. Muungano hautakuwa muungano tena, na inawezekana kabisa tukaingia kwenye machafuko.
Sioni akibadilika kuwa kitu kingine zaidi ya alivyo sasa. Nchi itagawanyika sana.
Nchi iko imara sana
Hicho chuo ni kipi?Sasa nawe unatafuta njia ya kujadili na mimi?
Ninapojibu chochote unachoandika humu sitafuti kujuwa chochote toka kwako, bali kukupa tu taarifa juu ya ubovu wa akili yako. Hicho chuo cha cha wazee wa Kariakoo kimewaharibu akili.
Anakijuwa mhitimu wake.Hicho chuo ni kipi?
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa.
Butiku ameyasema hayo katika Kongamano la Miaka Mitatu ya Taasisi ya Kizalendo ya Tanzania Patriotic Organisation (TPO) lililofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar es Salaam.
Katika ufunguzi wa Kongamano hilo Taasisi ya Tanzania Patriotic Organisation nayo haikusita kukemea ubadhirifu na rushwa huku ikiwataka Watanzania kuwa wamoja na wazalendo wanaposimamia mali za umma
Pia soma:
- Kuelekea 2025 - A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025
- Kuelekea 2025 - Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka
- Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025
- Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025
- Kuelekea 2025 - UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025
Rushwa rushwa rushwaWaziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...www.jamiiforums.com
Ndio maana viongozi Tz wanaongoza maiti tofauti na nchi nyingine za afrika mashariki zinazoongoza waliozirai
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi hiyo tena kwa mwaka 2025-2030, akisema kuendelea kufanya hivyo ni kuunga mkono rushwa.
Butiku ameyasema hayo katika Kongamano la Miaka Mitatu ya Taasisi ya Kizalendo ya Tanzania Patriotic Organisation (TPO) lililofanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar es Salaam.
Katika ufunguzi wa Kongamano hilo Taasisi ya Tanzania Patriotic Organisation nayo haikusita kukemea ubadhirifu na rushwa huku ikiwataka Watanzania kuwa wamoja na wazalendo wanaposimamia mali za umma
Pia soma:
- Kuelekea 2025 - A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025
- Kuelekea 2025 - Wakuu wa shule kumchangia fedha ya kuchukua fomu ya Urais Rais Samia 2025, hiki ni "kituko" cha kufungia mwaka
- Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025
- Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025
- Kuelekea 2025 - UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025
Nina helicopter [emoji576] nataka nimchangie Mama unapatikana wapi nikuletee!?Ningekuwa na ujamaa na ‘bi-tozo’ ningemuomba aniruhusu nianzishe taasisi ya kupokea michango ya watu wanaomchangia hela za form ya uraisi.
Nchi imejaa wapuuzi sana walau ndugu mmoja afaidike na huu ujinga wa watu wa bara.
Ngoja nitafute jamaa yake mmoja kwanza apate kibali cha ‘bi-tozo’ tutawapa address ya ofisi.Nina helicopter [emoji576] nataka nimchangie Mama unapatikana wapi nikuletee!?