1.
Mkuu ninapokuwa nao huwa ninausema, mara ya mwisho nilisema kuhusu Mkapa, na deal ya bandari ya miaka 25 na Karamagi, nafikiri umesikia majuzi ikipigiwa kelele na wabunge, lakini siwezi kuwa kwenye positon ya Butiku, kisiasa nikasema bila legal facts ambazo nina uhakika kuwa anazo, aziseme tuzifanyie kazi lakini sio juu juu tu na kuwasidia wauza magazeti huku mafisadi wanaendelea kutesa, wananchi tumeshazipita za siasa za mikingamo!
2.
Mkuu ningesikitika kama hii ingekuwa kweli on my part, lakini it is not, yes ninashirikiana au kufahamiana na viongozi wengi wa CCM na upinzani pia, sijawahi kumstahi kiongozi yoyote ambaye imethibitishwa kuwa ni muovu na taifa au hapa JF, the matter of fact kuna wakati huwa wakianikwa hapa huwa ninawasuta kwa kuwauliza kama ni kweli hizi accusations na huwa wananipa side of their stories, na I make my judgement na kuwatetea au kuwatwanga,
Msimamo wangu unaeleweka hapa JF, mimi ni mwanachama wa CCM damu, na ninajitayarisha kuingia ulingoni seriously very soon, mbegu nilishazipanda tayari kwenye ground zero, it is just the matter of time, na the day nikiingia mbingu zitashuka mkuu mimi sio hao uliowazoea sura mbili mmkuu, na pia nina fagilia upinzani wa nguvu kama a check kwa serikali yetu,
majina ya mafisadi yaliyotolewa na Dr. Slaa, nilikuwa mtu wa kwanza kuyaweka hapa JF wakati watu wanagwaya, I understand credibility ya kufuata upepo humu JF ili kuwemo kwenye crowd, hiyo mimi simo, na sina siasa za ku-stick upande mmoja halafu unashindwa kuchangia ishu nyingine muhimu kwa sababu ya misimamo ambayo haina nafasi kwenye siasa zetu Tanzania, kwenye hilo uko right kama ndio kipimo chako cha credibility, kwangu CCM chama cha Mwalimu, ni makini lakini kina haribiwa na baadhi ya viongozi wabovu ambao wakitolewa na kuwajibishwa kisheria itakuwa ndio solution ya matatizo yote ya bongo, lakini in the process ninataka ukweli wa ubovu wao na sio filimbi tu kama za Butiku,
Msimamo wangu ni firm, ndio maana kila siku ninarushiwa mawe yasiyokuwa ya kawaida, wengine mpaka wanajaribu kuni-hurt in the real life, sasa ndio kwanza ninaimalizia an-ishu ambapo one member hapa alifikiri ananijua in the real life na ninakofanya kazi serikalini, akaenda huko kazini na kupekela some ishus kutoka hapa akifikiri ni mimi, kumbe sio ni mwananchi innocent asiyejua kuwa hata kuna JF, thanks God kwamba I was able kuongea na wakuu wake wa kazi huyu mwananchi na kuwa-convince kuwa huyu mwananchi ameonewa mimi sio yeye, ni jana tu nilikuwa google HQ, kufuatilia ni nani aliyefanya hivyo toka hapa, na nimempata sasa, anatumia line kutoka mji unaoitwa New Rochelle, na anatumia watoto wake ambao ni wataalamu wa kompyuta, ila tu amesahau kuwa familia yake iko huko illegally hawana viza, na ana matatizo mengi ambayo ni aibu kuyasema hapa, na mimi nimemuahidi huyu mwananchi aliyeonewa kuwa jino kwa jino aniachie hilo, damu yangu au yake huyu mtu, na kama anasoma hapa ninamfahamisha kuwa hivi vita vitaamuliwa na Mungu, yeye ameanza mimi nitamaliza on my time, tena kwa my style ila sitampa free lunch, na siku tutakapokutana uso kwa uso mbingu zitaanguka,
Mkuu Kalamu, hayo juu hayampati mtu asiyekuwa na msimamo, na ninaomba nichukue nafasi hii kuwashukuru wale wote baadhi ya member tulioshirikiana nao kutoka humu JF kulitatua tatizo hilo, sina cha kuwalipa bali Mungu atawalipeni, na pia niwashukuru watu wa google kwa msaada wao mzito,
as for me wembe ni ule ule kumkoma nyani giladi, kwa ndugu zangu wengine be careful maana hiii anaweza kufanyiwa anyone hapa!
Ahsanteni!