Mkuu Kalamu,
Hiyo choice ni kwa kila mtu hapa JF, yaani na wewe you can take ya kwangu or leave it, ndiyo maana ya debate mkuu I can take BS you know that,
Barua ya Butiku, aliaandika kwa hasira ya Salim mgombea wake kukosa nafasi, na sio uchungu kwa taifa, ndio maana tunasema rekodi haiko upande wake huwa ni mtetezi wa tumbo lake, na anapiga makelele mengi ambayo ni debe tupu,
Ninaheshimu anachojaribu, lakini ninachoshwa na the same song kila siku, wanaume kina Dr. Slaaa husema mara moja na mbingu zinaanguka, either yuko na mafisadi au aseme facts, tule nao sahani moja,
As for my "misery" usiwe na wasi wasi ukipewa kikubwa na Mungu as I do basi na responsibility zinakuwa kubwa na it is being taken care off, kuhusu msimamo wangu mimi unaeleweka ndio mmaana imekuudhi sana kwa sabau hutaki responsibility kuwa sisi wananchi kuwa ndio hasa tunahusika na hili la kuwafichua viongozi wezi, sasa unataka tuwalaumu viongozi tu, hilo ninalikataa ninatumia jina moja Field Marshall ES, na ninazikata ishus kiroho mbaya ndio maana kuna wivu sana sana toka kwa vilema wa akili hapa JF lakini sio kwa vichwa wengi hapa pia, lakini bure ninasonga mbele na ninaendeleza libeneke hapa JF na siku zote ninasimama kuhesabiwa, sifuati upepo, ahsante Lunyungu kwa kuelewa msimamo wangu ulipo,
Butiku, anajua details ya anyoyasema sasa aseme ukweli wazi tuchanganue, mambo ya mikingamo tumechoka, Jf ni uwanja mkubwa huu hatuwezi ku-dwell on viongozi wezi tu, hizo hata mtu wa kawaida anweza kusema isisemwe kwenye media, ila yeye inaandikwa kwa sababu ni Butiku, aseme ukweli anaujua anashindwa nini kusema maana viongozi wote siku hizi hawamtaki anyways, majuzi alienda kwa kiongozi mmoja fisadi wakamfukuza kila anakokwenda siku hizi viongozi wa CCM wanamfukuza, sasa anangoja nini? Kama the idea ilikuwa kuwa-blackmail ameshindwa wamemshitukia hawamtaki, sasa anasubiri nini kusema ukweli wote au kuingia upinzani tujue moja? Maana CCM hawatamchukua tena na ameshaambiwa, sasa aseme ukweli,
Mwisho uchungu na taifa letu sio lazimawote tuwe na msimamo, wa upinzani, siasa za one way street hatuna dunaiani tena, siku hizi kuna siasa za accomodation yaaani stck and carrot, ndio maana Zitto yuko kwenye kamati ya serikali yamadini kwa kuchaguliwa na rais wa CCM, get that man siasa za kiazamani zimeisha, siasa ni two ways mkuu1And I love it baby, lete maneno Kalamu maana unanifanya angalau niandike kwa kufikiri, lete mkuu tuvine maana ndio hasa maana ya kuwepo hapa kuweka mawe