Mkuu Kalamu,
Hiyo choice ni kwa kila mtu hapa JF, yaani na wewe you can take ya kwangu or leave it, ndiyo maana ya debate mkuu I can take BS you know that,
Barua ya Butiku, aliaandika kwa hasira ya Salim mgombea wake kukosa nafasi, na sio uchungu kwa taifa, ndio maana tunasema rekodi haiko upande wake huwa ni mtetezi wa tumbo lake, na anapiga makelele mengi ambayo ni debe tupu,
Ninaheshimu anachojaribu, lakini ninachoshwa na the same song kila siku, wanaume kina Dr. Slaaa husema mara moja na mbingu zinaanguka, either yuko na mafisadi au aseme facts, tule nao sahani moja,
As for my "misery" usiwe na wasi wasi ukipewa kikubwa na Mungu as I do basi na responsibility zinakuwa kubwa na it is being taken care off, kuhusu msimamo wangu mimi unaeleweka ndio mmaana imekuudhi sana kwa sabau hutaki responsibility kuwa sisi wananchi kuwa ndio hasa tunahusika na hili la kuwafichua viongozi wezi, sasa unataka tuwalaumu viongozi tu, hilo ninalikataa ninatumia jina moja Field Marshall ES, na ninazikata ishus kiroho mbaya ndio maana kuna wivu sana sana toka kwa vilema wa akili hapa JF lakini sio kwa vichwa wengi hapa pia, lakini bure ninasonga mbele na ninaendeleza libeneke hapa JF na siku zote ninasimama kuhesabiwa, sifuati upepo, ahsante Lunyungu kwa kuelewa msimamo wangu ulipo,
Butiku, anajua details ya anyoyasema sasa aseme ukweli wazi tuchanganue, mambo ya mikingamo tumechoka, Jf ni uwanja mkubwa huu hatuwezi ku-dwell on viongozi wezi tu, hizo hata mtu wa kawaida anweza kusema isisemwe kwenye media, ila yeye inaandikwa kwa sababu ni Butiku, aseme ukweli anaujua anashindwa nini kusema maana viongozi wote siku hizi hawamtaki anyways, majuzi alienda kwa kiongozi mmoja fisadi wakamfukuza kila anakokwenda siku hizi viongozi wa CCM wanamfukuza, sasa anangoja nini? Kama the idea ilikuwa kuwa-blackmail ameshindwa wamemshitukia hawamtaki, sasa anasubiri nini kusema ukweli wote au kuingia upinzani tujue moja? Maana CCM hawatamchukua tena na ameshaambiwa, sasa aseme ukweli,
Mwisho uchungu na taifa letu sio lazimawote tuwe na msimamo, wa upinzani, siasa za one way street hatuna dunaiani tena, siku hizi kuna siasa za accomodation yaaani stck and carrot, ndio maana Zitto yuko kwenye kamati ya serikali yamadini kwa kuchaguliwa na rais wa CCM, get that man siasa za kiazamani zimeisha, siasa ni two ways mkuu1And I love it baby, lete maneno Kalamu maana unanifanya angalau niandike kwa kufikiri, lete mkuu tuvine maana ndio hasa maana ya kuwepo hapa kuweka mawe
Maneno haya ni lazima wana JF tuyazingatie. Kweli tunapashwa kuwa na siasa za maslahi ya Taifa na si Chama wala mtu .
Lunyungu,
NImefurahi kusoma maneno yako hayo, ni mara chache sana naona mnakuwa upande mmoja wa shilingi na FMES. Haya ndiyo tunayotaka wengine, mtu akisema ukweli, ni kuukubali hata kama huyo mtu au chama hukubaliani nacho kwenye mambo mengi.
Hongera wakuu kwa hili. Tuendelee kuangalia hoja na wala sio mtoa hoja.
BUTIKU SHOULD SHUTUP,YEYE AMEKUWA AKIFANYA MNF KUWA NI MALI YAKE,HAIJULIKANI NI LINI ALICHAGULIWA WALA LINI ANAACHIA,KAZEEKA NA HANA MAWAZO MAPYA LAKINI BADO TU AMEKAA,KAZI YAKE KUWASOMESHA WATOTO WA VIMADA WAKE ULAYA.NAKUMBUKA SIKU ZILE AKIWA KATIBU MYEKA WA RAIS ALIKUWA NI MUNGU MTU HUYU NA NDIO MTU WA KWANZA KUJIBINAFSISHIA NYUMBA OYSTERBAY MIAKA YA THEMANINI,NA NYINGINE AKAMPA BINAMU YAKE NIMROD MKONO.GHOROFA LA BUTIKU ALILOJIPA LIKO TOURE DRIVE NAMBA 165 PEMBENI TU YA NYUMBA YA PM.WAKATI ALIPOKUWA RC MARA NYUMBA HIO ALIKUWA ANATUMIA MTOTO WA DADA YAKE MKONO AKIITWA MANG"OMBE KUFIGIA NGURUWE NA KUKU.BUTIKU NDIO ALIEMPA MICHONGO MINGI SANA MKONO KUFAIDI KUANDIKA MIKATABA YA SERIKALI.
Mimi namuunga mkon Butiku to come and trumpet for the poor nk. Ila The man lazima tujue kwamba kwa nini hataji majina ? Kuna ubaya gani kama kaona Meghji kakosea kabisa na Mkapa was reckless asiseme tusikie ? We have been calling for Meghji resignation openly na yeye kasema namna hiyo lakini haji na jina .Unajua ukimtaja mtu kwa mfano Lunyungu wewe ni mwizi basi ina uzito badala ya kuzunguka na maneno . Kama JF tunataja majina je yeye anayeyajua mengi zaidi why aongee tu . Tunamuomba basi aongeze kasi aende mbele kidogo aseme Karamagi ama ndugu Rais kwa manufaa ya Watanzania si CCM bali Tanzania waondoe hawa then tuone kweli mzee kajitosa .Talk shows zisizo na tija do we need them ?
nakubaliana na mtazamo wako, hasa sehemu ya kumuunga butiku mkono aendelee kupiga tarumbeta. hii sehemu ya kutaja majina kwa sababu za kiusalama itamfikisha ambako labda hajajiandaa kufika. nadhani mbali ya kuwabwekea mafisadi walioko ofisini hajasahau nguvu waliyonayo juu ya vyombo vya sheria na kwingineko. kumtaja mtu atadaiwa ushahidi zaidi ya ule wa kimazingira tu. sisi hapa JF tunaweza kuwataja kwa sababu tunafurahia uhuru wa kuvaa vinyago usoni ambavyo vinaficha sehemu kubwa ya utambulisho wetu. jiulize ni kwa nini sisi wenyewe hakuna kati yetu aliyekwishapiga hatua ya kufanya alichokwishajitosa yeye huyu mzee kufanya mbali ya taarifa nzuri na nyeti tunazochangia hapo kwenye forum? na alichokwishajaribu kufanya ndicho kinachotushinda wananchi wengi...kujitokeza hadharani na kubweka huku ukimwelekezea mwizi pua. mi nampongeza kwa hatua hiyo ambayo sisi wote naamini itatuchukua muda kiasi kuifikia.
Mimi namuunga mkon Butiku to come and trumpet for the poor nk. Ila The man lazima tujue kwamba kwa nini hataji majina ? Kuna ubaya gani kama kaona Meghji kakosea kabisa na Mkapa was reckless asiseme tusikie ? We have been calling for Meghji resignation openly na yeye kasema namna hiyo lakini haji na jina .Unajua ukimtaja mtu kwa mfano Lunyungu wewe ni mwizi basi ina uzito badala ya kuzunguka na maneno . Kama JF tunataja majina je yeye anayeyajua mengi zaidi why aongee tu . Tunamuomba basi aongeze kasi aende mbele kidogo aseme Karamagi ama ndugu Rais kwa manufaa ya Watanzania si CCM bali Tanzania waondoe hawa then tuone kweli mzee kajitosa .Talk shows zisizo na tija do we need them ?
Mimi sina mtu maalumu wa kumuunga mkono ila naunga hoja zake kama zna faida kwa Tanzania .Nyie mnao tumia majina feki basi endeleeni kuongea mkiwa gizani .Lakini kuogopa kwa Butiku ni kwa ajili gani ? Hana uhakika na ayasemayo ama ni kitu gani ? Mbona Zitto na Slaa wanasema ? Mbona Mrema alikuwa anasema ?Mbona Tundu Lissu anataja ? Yaani Butiku anaona ni shida kusema Meghji jiondoe ume prove incomptency ?
Mimi hapa naitwa Joseph Cleophas Lunyungu Mademla wa Mtandula mbona nasema kwa uwazi ? Sina haja ya kujificha maana nikija hapa kusema sileti majungu .Wewe je ?
Unajua ndugu Mtanzania .Wewe hapo London unakaa na watu na si wote wanao kupenda amna unao wapenda ama hata kule kazini kwako maana wewe Engineer .Lakin kwa kuwa uko kazini huwa unfanya yale yanayo faa hata kama limefanywa na mshenztu tu lakini akifanya vyema kubaliana si kwamba umeshindwa hapana kukubali mtu akifanya kitu ndiyo maisha .Mimi sina ugomvi namtu hapa ila huwa hapendwi mtu kwa maana ya kwamba nimshabikie hapana . Akisema zito ambalo silijui na lika make sense lazima nikubali .Kubishana kwa maana ya kubishana hapa.Again mimi mtu yeyote akimwaga point nikaiona basi nakubaliana naye hata kama ni Masatu nitakubaliana naye ili mradi nione kasimamia ukweli .
That is me .