DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”