CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mzee anaropoka tu kama mtu anayekaribia kukata roho.
Zee hili limeongea uharo sana. Usijaribu kuchomoa mambo ''anayopuliza'' ili kukebehi watu. Pumbavu kabisa hili...Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Huyu mzee kigeugeu sana..ila huyu.ndiye Bitiku original. Kuna mwingine fakeMwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Mzee mbona haongelei kuhusu kijana wake Balozi mstaafu Polepole?..Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
We nae acha uongo.Ally Mo Kibao pumzika faza . Ukiskia story za watu wa mfumo wanadai yeye ndio msuka mipango wa matukio ya kijasusi na master mind hata katika hili la Mo29...... Achilia mbali kuvikwa ufadhili wa kutia pesa .......Yani yeye ndiye mtu hatari zaidi kuwepo chadema anayefanya kazi kinyume ili kudhoofisha na kuupindua mfumo.
Final ya AFCON jana imetoa message loud&clearMwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
CCM wanashindwa kushangilia ushindi wa Senegal maana wanajua maana ya ushindi huo kwa wadai haki nchini Tanzania.Final ya AFCON jana imetoa message loud&clear
1.Bila hakhi hakuna amani
2.Hakhi inadaiwa hata ikibidi kwa nguvu
3.Kila jambo lina ukomo- baada ya kubebwa kwenye mechi nyingi jana Morocco wamekwaa kisiki na kupata aibu ya milele.
Ww ndio huelewekiHili lizee halieleweki
Msiba ulitokea lini,maana kasema huwezi pita kwa watu ukipiga makelele wakati taifa liko kwenye msiba,na kagusia kufungwa kwa kanisa la gwajima,je lilifungwa mwaka juzi au ?Kasema lini haya? Ya zamani haya kama sikosei.
Pili jizee hili msiliamini, takataka
Wangeweza kupambana, ni uoga tu.Leo ndio nimeamini kumbe ujinga hauna umri,watu wameingia kwenye gari na bunduki pamoja na pingu asa abiria ambao hawakuwa hata na fimbo wangefanyaje,hivi kweli abiria wangeweza kupambana na watu wenye bunduki za kivita za Ak 47
Wewe mbona uko hapa kwa fake name! Kama unaogopa unaweka fake name why wao wasiogopeWangeweza kupambana, ni uoga tu.
Unakubali au unakataa ni uoga?!Wewe mbona uko hapa kwa fake name! Kama unaogopa unaweka fake name why wao wasiogope
Sure! But sometimes you do not need to be a dead HERO! If you can save life without betrayal, do it!Unakubali au unakataa ni uoga?!
Wao, mimi, wewe na wengine wote hapa JF ni waoga.
Hapo vipi?
Hapana. Huku siyo kuchanganyikiwa, hii ni mbinu., “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”