Butiku: Mwenzetu anaburuzwa kwenye basi, tunabung’aa tu, hatusemi anapelekwa wapi?

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”

LOOoh!

Mzee Butiku amekuwa muigizaji toka lini; kajifunzia wapi uigizaji wa kipuuzi namna hii; kwa Samia?

Kwa nini asimwachie Samia mwenyewe anayeijuwa vizuri kazi hii ya uigizaji!
 
Hapana. Huku siyo kuchanganyikiwa, hii ni mbinu.

Huyu mzee sasa ndiye chombo cha kufanya hadaa kwa waTanzania.

Huyu mzee amekuwa mpuuzi sana.
Hiyo ni classic strategy ya CCM miaka yote. Kuwa na watu wao pande zote mbili za shilingi ili kucontrol narrative na baadae kuwavuruga, kuwapotezea na kuwasaliti upande mmoja ili hatimaye kuwakatisha tamaa upande huo wasioutaka.
 
Bahati yetu nzuri ni kuwa hii mbinu muda wake umekwisha. Watanzania wanaijuwa vyema.

Kitu pekee kilichobaki kutuumiza ni hii mitutu ya bunduki.
Nadhani inabidi juhudi kubwa zihamie huku kwa hawa washiriki wanaoshikilia hii mitutu ya bunduki dhidi ya waTanzania. Tukiweza kulimudu hili, matatizo yetu mengi na waovu hawa yatakuwa yametenguliwa.
 
Ni kweli. Wanapata wakati mgumu sana kuendelea kuitumia mbinu hiyo.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”

Mnafiki mkubwa hana lolote
 
Eeh Mwenyezi Mungu kwa utashi wangu nimekuwa nikiamini mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu huu umeruhusu yaenende kwa kuongozwa na akili/fikra ulizomjalia mwanadamu.
Watenda ukatili na uovu dhidi ya wanadamu wenzao wanafurahia maisha hata pale wanaotendewa wema wakiomba na kushitaki kwako 😢.
Wanaokutumainia wanaomba baraka za kupata uwezo wa kuhimili mahitaji ya kila siku lakini wapo ambao hawayapati maisha wanayotamani hadi wanaiacha dunia hii.
Naomba ikuze imani yangu kwako muumba wa mbingu na nchi,fanya jambo zuri likawapendeze watu wako wanaokandamizwa na waovu katika maisha haya...hakika siku ukisikia kilio cha watu wako nitakutukuza kadri utakavyo nijalia umri wa kuishi dunia hii 🙏.
 
Back
Top Bottom