Kasema lini haya? Ya zamani haya kama sikosei.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Anataka aaminike kote. Hili la 29th October ni either upo upande wa wananchi au upo kinyume nao! Hakuna mguu upande na sawa kwa wakati mmoja.Hili lizee halieleweki
Hakika. Hana consistency, kama alivyo Mzee Warioba.Anataka aaminike kote. Hili la 29th October ni either upo upande wa wananchi au upo kinyume nao! Hakuna mguu upande na sawa kwa wakati mmoja.
Huyo mzee ni mjinga sana, watu wanakuja na silaha za moto unafanya nini? Halafu utashangaa huyo mzee anasema hivyo, ila ikitokea watu wakachukua hatua ataagizwa asema sio sahihi kuchukua sheria mkononi. Aseme ile ripoti ya rais kuhusu kifo cha Ali Kibao iko wapi kama anajifanya hajui nani anaagiza watu kutekwa.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Mzee achague upande mmoja sasa.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Butiku Butiku ButikuMwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Hilo zee bana, mbona yeye amebaki anabung'aa wakati Polepole katekwa na haulizi yuko wapi?Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”