Butiku: Mwenzetu anaburuzwa kwenye basi, tunabung’aa tu, hatusemi anapelekwa wapi?

Zee hili limeongea uharo sana. Usijaribu kuchomoa mambo ''anayopuliza'' ili kukebehi watu. Pumbavu kabisa hili...
 
Heri ya walioamua kukaa tu kimya!!

Actually, haya mazee yangesubiri kukata tu moto wala hayana maana yoyote!!
 
Huyu mzee kigeugeu sana..ila huyu.ndiye Bitiku original. Kuna mwingine fake
 
Huyu dingi anazeeka vibaya kama wasira

Ni wazee wa ovyo kwenye jamii
Wazee wa busara!
 
Mzee mbona haongelei kuhusu kijana wake Balozi mstaafu Polepole?..
 
We nae acha uongo.

MO29 na Mzee Kibao (Rip) wapi na wapi, usitufanye wajinga .
 
Final ya AFCON jana imetoa message loud&clear
1.Bila hakhi hakuna amani
2.Hakhi inadaiwa hata ikibidi kwa nguvu
3.Kila jambo lina ukomo- baada ya kubebwa kwenye mechi nyingi jana Morocco wamekwaa kisiki na kupata aibu ya milele.
 
Final ya AFCON jana imetoa message loud&clear
1.Bila hakhi hakuna amani
2.Hakhi inadaiwa hata ikibidi kwa nguvu
3.Kila jambo lina ukomo- baada ya kubebwa kwenye mechi nyingi jana Morocco wamekwaa kisiki na kupata aibu ya milele.
CCM wanashindwa kushangilia ushindi wa Senegal maana wanajua maana ya ushindi huo kwa wadai haki nchini Tanzania.
 
Kasema lini haya? Ya zamani haya kama sikosei.
Pili jizee hili msiliamini, takataka
Msiba ulitokea lini,maana kasema huwezi pita kwa watu ukipiga makelele wakati taifa liko kwenye msiba,na kagusia kufungwa kwa kanisa la gwajima,je lilifungwa mwaka juzi au ?
 
Leo ndio nimeamini kumbe ujinga hauna umri,watu wameingia kwenye gari na bunduki pamoja na pingu asa abiria ambao hawakuwa hata na fimbo wangefanyaje,hivi kweli abiria wangeweza kupambana na watu wenye bunduki za kivita za Ak 47
Wangeweza kupambana, ni uoga tu.
 
Unakubali au unakataa ni uoga?!
Wao, mimi, wewe na wengine wote hapa JF ni waoga.
Hapo vipi?
Sure! But sometimes you do not need to be a dead HERO! If you can save life without betrayal, do it!
 
, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Hapana. Huku siyo kuchanganyikiwa, hii ni mbinu.

Huyu mzee sasa ndiye chombo cha kufanya hadaa kwa waTanzania.

Huyu mzee amekuwa mpuuzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…