LOOoh!Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”
Hiyo ni classic strategy ya CCM miaka yote. Kuwa na watu wao pande zote mbili za shilingi ili kucontrol narrative na baadae kuwavuruga, kuwapotezea na kuwasaliti upande mmoja ili hatimaye kuwakatisha tamaa upande huo wasioutaka.Hapana. Huku siyo kuchanganyikiwa, hii ni mbinu.
Huyu mzee sasa ndiye chombo cha kufanya hadaa kwa waTanzania.
Huyu mzee amekuwa mpuuzi sana.
Bahati yetu nzuri ni kuwa hii mbinu muda wake umekwisha. Watanzania wanaijuwa vyema.Hiyo ni classic strategy ya CCM miaka yote. Kuwa na watu wao pande zote mbili za shilingi ili kucontrol narrative na baadae kuwavuruga, kuwapotezea na kuwasaliti upande mmoja ili hatimaye kuwakatisha tamaa upande huo wasioutaka.
Ni kweli. Wanapata wakati mgumu sana kuendelea kuitumia mbinu hiyo.Bahati yetu nzuri ni kuwa hii mbinu muda wake umekwisha. Watanzania wanaijuwa vyema.
Kitu pekee kilichobaki kutuumiza ni hii mitutu ya bunduki.
Nadhani inabidi juhudi kubwa zihamie huku kwa hawa washiriki wanaoshikilia hii mitutu ya bunduki dhidi ya waTanzania. Tukiweza kulimudu hili, matatizo yetu mengi na waovu hawa yatakuwa yametenguliwa.
Kama unafkiri uchaguzi ulianza oktoba 29 na kuja kukurupuka kujibu ilichoandika una sadari ndefu Sana.We nae acha uongo.
MO29 na Mzee Kibao (Rip) wapi na wapi, usitufanye wajinga .
Mlimjuaje Mzee Kibao na kumnyakua Kama hamkujaza watu wenu waliokuwa ndan ya chadema kumuuza ?Kama unafkiri uchaguzi ulianza oktoba 29 na kuja kukurupuka kujibu ilichoandika una sadari ndefu Sana.
Kibao hakujulikana sn Hadi alipokufa, Nani alimuuza ?Butiku usituone Wajinga
Mnafiki mkubwa hana loloteMwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye basi, anatolewa nje ya basi, wote tunatazama tu. Sisi ni raia, na wote tuna wajibu wa kulinda katiba. Haiwezekani mwenzetu aburuzwa na sisi tuangalie bila kuchukua hatua. Tumebunga’aa.”