Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Mawazo mbadala kwa wamwaga damu isiyo na hatia ...unajua vita yote ya Uganda tulipoteza askari chini ya 1700 ila ndani ya siku 6 Samia kaua Raia Wazalendo si chini ya 6000Muwe mnakubali mawazo mbadala sio kila mnachotaka nyie ndo kiwe kwa kila mtu!