Butiku naye ameanza kuwa CHAWA, ànabariki genocide!

Dhambi alizozibeba smeona hazimtoshi, ngoja aongeze dhambi zingine!
 
Vijana wakiwa wanafiki naweza kidogo kuwaelewa kwakuwa wana hali ngumu, wanatafuta pesa bila kujali kama zina damu za watu.

Lakini wazee kuwa machawa inastaajabisha sana, haina utetezi kabisa.
​
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!

..dawa ni kwenda kwenye hilo kongamano na kuwaeleza ukweli wasiotaka kuusikia.
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
Anauma na kupuliza.
Dishi limeyumba somehow🥱
 
Back
Top Bottom