Butiku naye ameanza kuwa CHAWA, ànabariki genocide!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Pumbavu, jinga kabisa. Limehongwa na wauaji liwatetee...to normalize killings!

Hizo propaganda zilishindwa MO29 hawataweza kugeuza mioyo yetu
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Pumbavu, jinga kabisa. Limehongwa na wauaji liwatetee...to normalize killings!

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
Hajahongwa, yuko hivyo siku zote, huwezi kuwa chama kile uwe tofauti.
 
Tulimjadili sana hapa
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
Shida ya Mzee Butiku analinda kibarua cha mtoto wake ambaye ni mkurugenzi TANAPA huko
 
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?

Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
Damu ya Polepole haitomuacha salama, nasikia huyu si ndio alimchoma jamaa
 
Back
Top Bottom