PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza..

Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali

10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio alimchoma Pole pole.. aibu sana

09. Mzee Alkael Mbowe ilifika hatua akaitwa "kamanda" lakini ona heshima yake ilivyoshuka usiku mmoja tu!

08. Mzee (Mchungaji) Hananja: huyu aliheshimika mpaka akawa anaitwa Sehemu mbali mbali kuhutubia lakini akaweka njaa mbele

07. Mzee (askofu) Malasusa huyu siwezi kumsemea sana ila mnaona wenyewe

06. Mzee Rioba (wa TBC) huyu ni mmoja wa wazee ambao anaona uchawa na unafiki pekee havitoshi.. ila heshima yake imeshuka

05. Mzee Wasira: huyu angekataa tu ile nafasi ya umakamu kuliko kuendelea kukomaa wakati tayari mwili unakataa

04. Mzee Mwambegele (mzee wa Tume) hivi ataficha wapi uso wake baada ya hii 98% ? Yaani hata akistaafu akienda kucheza na wajukuu lazima watamzomea tu

03. Mzee Azim Dewji (baba Mo) huyu mzee alisema Pole pole anatafuta kiki huyu mzee anajishushia sana heshima kulinda uraia na biashara zake... Yupo radhi alambe miguu ya viongozi wa CCM

02. Mzee Tido Mhando alijijengea heshima kubwa lakini toka apambane kumsafisha Rostam na sasa anapambana kuwasafisha 'wanamtandao" heshima yake imerudi hadi "sifuri"

01. Mzee wa Msoga: binafsi huyu alikuwa Raisi wangu pendwa.. ila kumbe i was wrong.

Sote tunajionea haya yote yanatokea ni kwasababu yake na hakika amestahili kuwa namba moja kwenye hii Listi ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kujishushia heshima yao mwishoni kabisa yaani dakika za jiooooni

N.b kumbuka nimejizuia kusema "wazee wa hovyo"
 
01. Mzee wa Msoga: binafsi huyu alikuwa Raisi wangu pendwa.. ila kumbe i was wrong...
Sote tunajionea haya yote yanatokea ni kwasababu yake na hakika amestahili kuwa namba moja kwenye hii Listi ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kujishushia heshima yao mwi
Mchonga aliposema jamaa hafai, ilionekana kama ni wivu hivi kumbe alikuwa sahihi sana, mbele ya muda.
 
Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza..
Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali
10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio alimchoma Pole pole.. aibu sana
09. Mzee Alkael Mbowe ilifika hatua akaitwa "kamanda" lakini ona heshima yake ilivyoshuka usiku mmoja tu!
08. Mzee (Mchungaji) Hananja: huyu aliheshimika mpaka akawa anaitwa Sehemu mbali mbali kuhutubia lakini akaweka njaa mbele
07. Mzee (askofu) Malasusa huyu siwezi kumsemea sana ila mnaona wenyewe
06. Mzee Rioba (wa TBC) huyu ni mmoja wa wazee ambao anaona uchawa na unafiki pekee havitoshi.. ila heshima yake imeshuka
05. Mzee Wasira: huyu angekataa tu ile nafasi ya umakamu kuliko kuendelea kukomaa wakati tayari mwili unakataa
04. Mzee Mwambegele (mzee wa Tume) hivi ataficha wapi uso wake baada ya hii 98% ? Yaani hata akistaafu akienda kucheza na wajukuu lazima watamzomea tu
03. Mzee Azim Dewji (baba Mo) huyu mzee alisema Pole pole anatafuta kiki huyu mzee anajishushia sana heshima kulinda uraia na biashara zake... Yupo radhi alambe miguu ya viongozi wa CCM
02. Mzee Tido Mhando alijijengea heshima kubwa lakini toka apambane kumsafisha Rostam na sasa anapambana kuwasafisha 'wanamtandao" heshima yake imerudi hadi "sifuri"
01. Mzee wa Msoga: binafsi huyu alikuwa Raisi wangu pendwa.. ila kumbe i was wrong...
Sote tunajionea haya yote yanatokea ni kwasababu yake na hakika amestahili kuwa namba moja kwenye hii Listi ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kujishushia heshima yao mwishoni kabisa yaani dakika za jiooooni

N.b kumbuka nimejizuia kusema "wazee wa hovyo"
Hao wote na wengine wengi kama hao tuliwajua na kuwasema dhaifu siju nyingi.

Tatizo lenu wabongo wengi mna very low standards, mnaridhika kirahisi, mnasahau mapema, hamna hasira nzuri za kutosha, hamjui kufikiri jidhahania, hamuelewi somo mpaka mpigwe na kitu kizito kwanza.

Na mpaka sasa mmepigwa na risasi za kuukia tembo bado kuna watu hawaelewi somo bado.
 
Back
Top Bottom