PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa Mbowe ulikuwa huniambii kitu. Alijua kunitapeli huyu mangi
Mbowe tulimjua mtupu tangu alivyogombe urais mara ya kwanza.

Kwenye vikao vya familia alikuwa anaombea asishinde urais kwa sababu alikuwa hajui akishinda atafanya nini.

Aliogopa kiti cha urais alichogombea.

Lakini hizi nyingine ni habari za mitandao ya kifamilia huwa hazisemwi nje.
 
Father mzee kikwete pia Sema huyu uhuni na heshima kaunza zamani
Tangu akiwa Monduli.

JamiiForums26765864.jpeg
 
Mbowe tulimjua mtupu tangu alivyogombe urais mara ya kwanza.

Kwenye vikao vya familia alikuwa anaombea asishinde urais kwa sababu alikuwa hajui akishinda atafanya nini.

Aliogopa kiti cha urais alichogombea.

Lakini hizi nyingine ni habari za mitandao ya kifamilia huwa hazisemwi nje.
Duh!...kama ni kweli basi huyu Mzee kashiriki kuhadaa umma, hii ni dhambi ya uasi.
 
Wazee wa kuaminika kwa sasa tumebakia wawili tu. Mimi Mzee Tate Mkuu, na Mzee Warioba. Ila siyo Shemeji yangu Mzee Pascal Mayalla! Akiamka na njaa, anamtetea mama na serikali yake mpaka baadhi ya watu wanapandwa na hasira kali! Halafu siku akiamka ameshiba, utashangaa anakuja na mada za kufikirisha sana na zilizojaa madini ya kutosha.
 
Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza..

Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali

10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio alimchoma Pole pole.. aibu sana

09. Mzee Alkael Mbowe ilifika hatua akaitwa "kamanda" lakini ona heshima yake ilivyoshuka usiku mmoja tu!

08. Mzee (Mchungaji) Hananja: huyu aliheshimika mpaka akawa anaitwa Sehemu mbali mbali kuhutubia lakini akaweka njaa mbele

07. Mzee (askofu) Malasusa huyu siwezi kumsemea sana ila mnaona wenyewe

06. Mzee Rioba (wa TBC) huyu ni mmoja wa wazee ambao anaona uchawa na unafiki pekee havitoshi.. ila heshima yake imeshuka

05. Mzee Wasira: huyu angekataa tu ile nafasi ya umakamu kuliko kuendelea kukomaa wakati tayari mwili unakataa

04. Mzee Mwambegele (mzee wa Tume) hivi ataficha wapi uso wake baada ya hii 98% ? Yaani hata akistaafu akienda kucheza na wajukuu lazima watamzomea tu

03. Mzee Azim Dewji (baba Mo) huyu mzee alisema Pole pole anatafuta kiki huyu mzee anajishushia sana heshima kulinda uraia na biashara zake... Yupo radhi alambe miguu ya viongozi wa CCM

02. Mzee Tido Mhando alijijengea heshima kubwa lakini toka apambane kumsafisha Rostam na sasa anapambana kuwasafisha 'wanamtandao" heshima yake imerudi hadi "sifuri"

01. Mzee wa Msoga: binafsi huyu alikuwa Raisi wangu pendwa.. ila kumbe i was wrong.

Sote tunajionea haya yote yanatokea ni kwasababu yake na hakika amestahili kuwa namba moja kwenye hii Listi ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kujishushia heshima yao mwishoni kabisa yaani dakika za jiooooni


N.b kumbuka nimejizuia kusema "wazee wa hovyo"
Namba moja umeiweka sawa sana.
 
Father mzee kikwete pia Sema huyu uhuni na heshima kaunza zamani

Ukizaliwa muhuni ni muhuni tu, Urais ilikuwa accident tu ; kwa viwango vyote hakustahili na ndio maana classmate wake marehemu Dr. Abdalla Kigoda alimdharau mpaka anaingia kaburini. Mpaka Kikwete mwenyewe akaogopa hata kuhudhuria mazishi yake!!
 
Hakuna alieniskitisha kama huyo wa msoga,yaan kama angetulia ndo alikuwa anakuwa baba wa taifa hili na siku ya msiba wake watz tungelia mpaka tukakonda

Magu alimvuruga sana ndo maana kawa na kichaa hv,tena akisikia magufuri anasifiwa ndo anazidi kuchizika na jini
 
Hao wazee ni laana wakifa wachomwe majivu yatupwe baharin maana wakizikwa ni haramu udongo utaleta kizaz iko tena
 
Wanalinda masirah yao pia uhai wao, kwan wakienda tofaut na wanamtandao wanavotaka wanajua kitakachowatokea usione wapo kimya nao wanapenda ugari.

Deep state mbaya sana
 
Sijui kimewapata nini hawa masheikh? Mie sheikh Mziwanda nimemshusha heshima sana.
SHEKHE YOYOTE NI MPUMBAVU USHAHIDI UPO HAPA JF NA MIMI NDIYO MUHUSIKA WA HUO USHAHIDI ....HAPA JF KULIKUWA NA WAISLAMU WENGI WENYE KUHOJI UKRISTO NILIPO KUJA MIMI WAMEKIMBIA SIKUIZI UWEZI KUWAKUTA WANAULIZA MASWALI AU KUHOJI UKRISTO SABABU NI KWAMBA UWEZO WAO NI MDOGO SANA KIAKILI HIVYO WALITUMIA MWANYA WA WAKRISTO WAPUMBAVU KULETA CHALLENGES...MBONA WALE MASHEKH KWENYE MITANDAO AWAJI NA HOJA ZAO HAPA NA KUJA KUJIBU MASWALI KWA UTIMILIFU KAMA MIMI NIJIBUVYO .. TENA MASHEKH WENGI WALIOPO HAPA JF AWATHUBUTU HATA KUJITAMBULISHA KUWA NI MASHEKH.
 
Back
Top Bottom