The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao..
Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa statement hii..
Inasikitisha sana kwa kuwa wazee kama huyu au Mzee Othman Chande wameuza utu wao kwa viongozi kama Samia Suluhu Hassan wasiojiheshimu wenyewe lakini wao wakitaka waheshimiwe...!
===============
LABDA TUINGIE SHULE KIDOGO PAMOJA NA MZEE WANGU JOSEPH BUTIKU ILI TUJIFUNZE KUHUSU HESHIMA NI NINI NA INATENDAJE KAZI:
Je, Heshima hutolewa au hupiganiwa?LABDA TUINGIE SHULE KIDOGO PAMOJA NA MZEE WANGU JOSEPH BUTIKU ILI TUJIFUNZE KUHUSU HESHIMA NI NINI NA INATENDAJE KAZI:
Hakuna jibu la moja la moja kwa moja; Ila heshima inapiganiwa kupitia matendo, tabia na msimamo wako, kisha ndipo jamii inaitoa hiyo heshima kama tuzo ya utu na uaminifu wake mtu huyo awe kiongozi au mtu yeyote.
Huwezi kusubiri kupewa heshima bila kuonyesha msingi unayoifanya hiyo heshima istahili kuja kwako.
Kwa namna gani heshima Inapiganiwa?
Kupitia Matendo mema:
Unajijengea thamani kupitia jinsi unavyowatendea wengine.
Kupitia Nidhamu njema binafsi:
Kulinda utu wako na kusema hapana kwa mambo ya ovyo.
Kupitia kujituma binafsi:
Kufanya kazi kwa bidii na kuonyesha uwezo wako.
Kupitia kuwajibika bunafsi:
Kusimama kwenye ukweli na ukikosea, basi unakakiri makosa yako.
Kwa Nini Heshima Inapewa?
Kwa sababu ni matokeo ya jamii:
Watu wanakutambua pale wanapoona msimamo wako.
Kwa sababu ni hali ya kawaida:
Ni malipo ya asili kutoka kwa wengine kwa vile ulivyowatendea.
Vipi kuna heshima ya bure?
Ndiyo ipo. Kwamba, wakati mwingine unapewa kwa sababu ya umri au cheo, lakini heshima ya namna hii haidumu. Heshima nzuri na yenye kudumu ni ile inayotoka kwenye matendo yako mema na ya utu kwa wengine.================
VIPI VIONGOZI WETU WA SERIKALI HII CHINI YA SAMIA NA CCM YAKE WANASTAHILI KUPEWA HESHIMA YOYOTE?
VIPI VIONGOZI WETU WA SERIKALI HII CHINI YA SAMIA NA CCM YAKE WANASTAHILI KUPEWA HESHIMA YOYOTE?
• Utamhemshimu vipi kiongozi (Rais Samia) asiyeanza kwanza kujiheheshimu mwenyewe na kuheshimu wengine..?
• Utaanzia wapi kumheshimu kiongozi wa umma kama Samia Suluhu Hassan (Rais) ambaye ni muuaji wa ndugu zetu 29/10, ambaye pia ni mwongo, mwenye kiburi na jeuri kuanzia ktk nyayo za miguu yake hadi utosini...?
• Heshima kwa kiongozi wa umma akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan si automatic kwa sbb tu yeye ni kiongozi au Rais wa nchi..
• Heshima kwa kiongozi wa umma inapiganiwa, sio tendo linalomtokea automatic tu kiongozi yeyote eti kwa sbb yeye ni kiongozi..
• Heshima inatafutwa, inajengwa na kuimarishwa na muhusika mwenyewe...
• Heshima inaweza kumvaa mtu kiongozi na akadumu nayo. Lakini heshima inaweza pia kutoweka na kupotea kabisa kwa mtu kiongozi yeyote na nafasi yake kuchukuliwa na dharau na mabezo...
• Ndivyo ilivyo kwa Samia Suluhu Hassan (Rais haramu wa Tanganyika). Hawezi kuheshimiwa abadani kwa matendo na tabia yake mbaya ya uongo uongo, kiburi, jeuri na ya uuaji...!