Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
huu sasa wazimu; kweli alikuwa anafikiria CCM wangefanya nini? wao ndio wameanzisha mchakato huu, wao ndio wametunga sheria ya kuusimamia na wao ndio wanufaika wakubwa wa matokeo ya mchakato huu. Kwanini wasiingilie kati?