BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao.

Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena.

Walipaswa kuwa european powerhouse ila wamekuwa wasindikizaji tu wa bayern.

Ebu angalia watu waliowauza hapa na bei zao zilitosha wa invest katika kikosi ili wawe powerhouse na sio sehemu ya kupitia.
Screenshot_20231111_120835_Firefox.jpg
 
Back
Top Bottom