Pre GE2025 Bw. Felex G. Kashindye anayetuhumiwa kugawa pesa kwenye uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini ni nani?

Pre GE2025 Bw. Felex G. Kashindye anayetuhumiwa kugawa pesa kwenye uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Kusini ni nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Ukiwa Tunduma unapata taarifa kwamba tuhuma zilizotolewa na Lisu kuhusu vita ya rushwa kwenye uchaguzi zimetokana na kusambaa kwa taarifa za mfanyabiashara anayejiita Felex Kashindye anayedaiwa kuzunguka kuwatafuta wajumbe na kuwaahidi mgawo.

Lengo kubwa na mtu huyu na chanzo cha fedha alizonazo inadaiwa ni kumzuia Sugu asipate support pamoja na kumvuruga Msigwa pale Iringa

Baada ya Lisu kuzungumza adharani hali ya vita ya uchaguzi imetulia na wajumbe wameingiwa woga na kuchukua taadhari kubwa. Hata hivyo Lisu amepata mapokea makubwa pamoja na kwamba wagombea walitamani asifike Iringa ili wapate pesa japo ya Ulanzi

Katika mkakati wa kuivuruga chadema kuelekea uchaguzi COVID 19 wanatajwa kutumika kupitia mahusiano yao yaliyopo ya kirafiki na viongozi wengi wa chadema.

Yote kwa Yote Spika hana amani na nguvu ya umma.

===

Pia soma: Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul
 
Mara tajiri agawe pesa. Mara tajiri wa tunduma, mara iringa huyo huyo anamvuruga sugu, mara tundu lissu kapokewa na watu wengi.
Huyu tajiri yte hayo anafanya yeye?
 
Mara tajiri agawe pesa. Mara tajiri wa tunduma, mara iringa huyo huyo anamvuruga sugu, mara tundu lissu kapokewa na watu wengi.
Huyu tajiri yte hayo anafanya yeye?
Tulia wewe mamluki, mwaka huu mtatajana
 
Back
Top Bottom