Wewe kauzu kweli mimi JF namuogopa nani mpaka nijifiche?usifichefiche hoja yako...unafki sio mzuri swahaba.
Kwahiyo unapanga kummaliza Lisu? .
Wewe kauzu kweli mimi JF namuogopa nani mpaka nijifiche?
Nyerere sio MUNGU.
Hoja yangu ipi unayotaka? Lissu alichosema ni sahihi kuhusu Nyerere, wala hakukosea ni ukweli mtupu, kabla ya Lissu, kusema sisi wengine tulishasema muda mrefu tabia za Nyerere...upoo!sasa toa hoja yako upate pepo.
Hilo unasema na Unaliona wewe! Subiri sasa Moto wake...
@Kijakazi wa II,
..nadhani hujafuatilia mikutano na makongamano ya uamsho na kamati ya maridhiano kule Zanzibar.
..yaani likitajwa jina la Mwalimu Nyerere, basi umati unajibu kwa sauti "laanatul". wakimaanisha "aliyelaaniwa."
..hata huku Tanganyika kuna segment kubwa tu ya wananchi ambao wanaamini kwamba Mwalimu Nyerere aliwadhulumu haki zao kutokana na kutofautiana naye kiimani.
..ukiacha hao ambao wanamsema vibaya Mwalimu Nyerere, wapo wale ambao wanamtukana kwa matendo yao kwa jinsi wanavyokiuka maadili na miiko aliyoiacha Mwalimu Nyerere.
..Je, UFISADI unaofanywa na CCM siyo matusi kwa Mwalimu Nyerere?
..UBINAFSI unaoendekezwa na CCM siyo kumdhalilisha Mwalimu Nyerere?
..hao unaodai wako tayari kumhami Mwalimu Nyerere ni kina nani hao? Je, ni hawa waliokosa utu na kumumunyoa misingi yote aliyoiacha Mwalimu Nyerere?
..Hivi kweli kwa maoni yako unadhani Tundu Lissu amemdhalilisha Mwalimu, kuzidi hawa viongozi wa CCM walioua azimio la Arusha na kujilimbikizia mali kifisadi, huku wakiwaacha wananchi kwenye ujinga, umasikini, na maradhi?
cc Mkandara, Mchambuzi, gombesugu, Kasheshe, Mag3
Hoja yangu ipi unayotaka? Lissu alichosema ni sahihi kuhusu Nyerere, wala hakukosea ni ukweli mtupu, kabla ya Lissu, kusema sisi wengine tulishasema muda mrefu tabia za Nyerere...upoo!
Hivi mtu kueleza ukweli wa tabia za Nyerere, unakuwa siyo Intelligent.
Majanga.
Hoja yangu ipi unayotaka? Lissu alichosema ni sahihi kuhusu Nyerere, wala hakukosea ni ukweli mtupu, kabla ya Lissu, kusema sisi wengine tulishasema muda mrefu tabia za Nyerere...upoo!
Watu Intelligent na munaowapenda ni wale wanaowaambia Watanzania wale Nyasi lakini ufisadi lazima ufanyike,wale wanaotuambia kama hatuna hela ya kupanda kivuko tupige mbizi,wale wanaotuambia tunawivu wa kike tukihoji matumizi ya rasilimali zetu........acheni hizo wandugu, binafsi namheshimu Nyerere lakini kama binadamu lazima alikuwa na mapungufu yake,nitarudia kusikiliza hotuba ya Lisu nione wapi ametukana Nyerere, nikipaona na mimi nitamuandikia Lisu MSG ya matusi japo katusaidia hati feki imepelekwa bungeni.
Hilo unasema na Unaliona wewe! Subiri sasa Moto wake...
anza kujifunza kufikiri. tl ni another level.tatizo lenu maccm hamtaki kuambiwa ukweli. mnapenda kusema uongo na kutaka kila MTU auamini. ukweli utabaki kuwa ukweli. kuna mengi nyerere alifanya lakini sio sababu kuwa asijadiliwe kwa machache ambayo watu wanaona yanahitaji marekebisho.Sijasema kama Sio Intelligent kabisa bali SIYO intelligent kama ambavyo wengi wenu mnadhania.
Kuhusu kuhusu Hati ya Muungano ingeweza kuletwa bila ya yeye kuongea aliyoongea dhidi ya Mlm.Nyerere hata kama ni ya ukweli kiasi gani, Mtu Intelligent alipaswa kutambua kwamba kuwa dhidi ya Mlm.Nyerere nchi hii utashindwa tu na mwishowe watu watakuupuzia na haijalishi ulikuwa uko sahihi kwa kiasi gani!
Huyo Babu (Mlm.Nyerere) alishawahi na hakuna jinsi mtu anaweza kubadilisha hilo hata ajaribu vipi, hivyo mtu intelligent anapaswa kutambua hilo...Waswahili tunasema Ujanja kuwahi, na yeye basi alisha wahi wengine lazima tukubali tu...
He is "intelligent" but "worst communicator"