Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

Mlipokuwa shule si mlikuwa mnafanya mijadala ya wanaopinga
na wanaounga mkono ? Sasa cha ajabu ni kipi hapa ?
Kila upande huwa haukosi hoja na mashabiki wa kila upande
hupiga makofi hoja zao zinapowasilishwa !!!!!!!!!!!!
 
Huyu Tundu Lissu mie nafikiri ni mtu wa kumpeleka Milembe pale...kwanza inaonekana anaweza sana mipasho kuliko uongozi ..basi kwa nini asitafutiwe na yeye nafasi kwa kikundi nguli cha muziki wa mipasho yaani Jahazi kule ndio mwake huyu.huku kwenye siasa ni mganga njaa huyu hajui kama asingekua JKN sijui hata hio elimu ya bure iliomfuta ujinga angeipata.
 
wewe kinachokusumbua sio tabia za Nyerere kinachokusumbua unaona ata aibu kukisema...uwezi ipata pepo kwa chuki kali za namna hii swahaba..
Hiyo pepo anatoa babu yako?
 
lisu kajimaliza mwenyewe.

attachment.php
 
Huyu Tundu Lissu mie nafikiri ni mtu wa kumpeleka Milembe pale...kwanza inaonekana anaweza sana mipasho kuliko uongozi ..basi kwa nini asitafutiwe na yeye nafasi kwa kikundi nguli cha muziki wa mipasho yaani Jahazi kule ndio mwake huyu.huku kwenye siasa ni mganga njaa huyu hajui kama asingekua JKN sijui hata hio elimu ya bure iliomfuta ujinga angeipata.

Ukweli unauma ila dawa hunijuwi siku juwi ila zunguka familia yako yote adi babu yako amna mwenye akili ya lissu kwenye ukoo wako
jibu baki nalo!
 
Akilii hii hii alionayo ya mipasho...katoka singida huko madongo kuinama kwenye matembe kaletwa mjini na shule za bure JKN alizompatia elimu ya bure..kama CDM viongozi wenyewe ni hawa....kuongoza nchi ni ndoto za mwendawazimu!!Halafu kajifunze lugha kwanza ndo uje ujibu hapa.....sikujuwi-sikujui,adi-hadi, amna- hamna....ni hayo tu na kichwa chako cha panzi.
 
TUNDU LISU kashapoteza sifa kuwa kiongozi kwa sababu ya ujinga wake wa kutumiwa na UKAWA
 
Usihangaike naye ni mgonjwa, ila watu wanamuamini sijui nao kama wazima

Hata ikulu inaangaika naye mpaka jana ikakurupuka na hati feki baada ya j.mosi jaribio la kumfanya asisikike kushindikana,sembuse wewe ? TL ni noma.
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!

Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!

Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...

Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...

Kama nimekuelewa vizuri naamini wewe siyo Intelligent enough kujua mkakati na hoja za Lisu zilikuwa zinamalengo gani! Unafikiri HATI ingetolewa kama siyo hotuba ya Mh Lisu? ...Yaani wewe unataka kutuaminisha kuwa yeye Kusema kuwa JKN alisema uongo ni kuanzisha VITA? unajua maana ya VITA au umetumia kwa kutokujua? Yeye alitoa mifano mine (4) kati ya hizo JKN pekee ndiyo marehemu wengine wote wako HAI! Unafikiri ni kwanini akina Mwakyembe, Shivji, JK wameshindwa kumjibu mpaka sasa?... Binafsi sikubaliani na mtazamo wa serikali 3 bali ni muumini wa serikali 1 ambayo haiwezekani kupatikana LAKINI natamani katiba ijayo ijengwe ktk misingi ya ukweli na ipate ridhaa ya wananchi wote wa Tanzania! Katika kama Muongozo wetu Mama inatakiwa itoe mwelekeo wa jinsi gani RASILIMALI zetu zitatumika kwa manufaa ya Watanzania na kuweka bayana mfumo wa uwajibikaji pindi kiongozi anapo mess up kwenye mambo yanayogusa maslahi ya wananchi ...
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!

Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!

Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...

Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...

Kumuelewa Tundu Lissu lazima mtu uwe intelligent as well.
Kwa kilaza kama wewe hauwezi kumuelewa Lissu..
So based on this, sisi tunakupuuza.
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!

Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!

Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...

Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...

Asante kwa tafakuri yako sahihi kabisa. Mimi pia nilikuwa nikitafakari uwezo wa kijana huyu ambaye nilikuwa naamini ni mtu makini kabisa na kuna wakati nilikuwa nikiamini angefaa hata kugombea urais. Lakini kwa statement yake ya juzi na jinsi alivyomkashifu Mwalimu kwa kutumia lugha ya kihunihuni nimegundua ni wa ovyo.
Angekuwa makini angeomba radhi kwa lugha aliyoitumia ambayo kwa hakika imetukera wengi, lakini kwa arrogance aliyokuwa nayo najua hatafanya hivyo, jambo litakalomgharimu yeye na hats chama chake!
 
Intellingent ww mtoa mada

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!

Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!

Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...

Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...

Hiyo dunia unayoishi mwenzetu ndo iliyotela matatizo yote haya tuliyonayo leo. Dunia ya kukumbatia ujinga eti tu kwa sababu aliyeufanya anaheshimika! Hiyo dunia ndiyo dunia ambayo waliomka wote wanapiga kelele kuikimbia na wanapigwa na kufungwa mchana na usiku kwa ajili ya kuwaamsaha na wengine. Hiyo dunia yako, hakuna kijana, mzima na mwenye akili timamau anayeitamani.

Kama utaniambia nikamshauri Tundu Lissu kuhusu hilo, nitamwambia aendelee na moyo huo huo kwa kuwa vijana wote wa Tanzania wenye akili timamu na wapenda maendeleo wako pamoja naye!

Pia nitaomba mnitolee ujinga ulijazana kwenye vichwa vilivyokariri ahadi za Mwana TANU za kusema kweli daima, fitina kuwa mwiko, wakati Mnapenda uwongo na siyo fitina tu mpaka hujuma mnafanya bila aibu. Hiyo dunia yenu hatuipendi!
 
Kama wanamuimba huyu kichaa basi huko kote ni vichaa ndio waliojaa....huyu mtu Lissu ni wa kupelekwa kuimba taarabu ndio mahali pake...siasa hawezi..

Ni taahira lile! Lenyewe lilidhani likisema ujinga ule labda wananchi watalipenda na kuiunga mkono chagadema, kumbe ndio limeharibu kabisaa! Hao wazanzibar wenyewe hawaitaki chadema wanadai ni ya wakristu!
 
Back
Top Bottom