Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Kwann usiweke ili tangazo kwenye makanisa mbali mbal ili iwe rahisi Zaid kwa taarifa zako kuenea ni ayo tuh mkuu
 
Kuna topics zako miaka ya nyuma uliponda wasichana wasomi ukasema wanaoolewa ni dsrasa la saba na form four, na ndio ilikuwa pendeleo lako kimtazamo, Leo vigezo vyako ni hadi masters vp umebadili msimamo wa zamani?
 
Kwanini usiende kanisani kwenu..? Huko si ndo rahisi kuwapata..
 
Watoto wa maaskofu wa makanisa ya kilokole ....u know what I'm talking about
Wewe umeokoka??? Kamue mtoto wa mwakasege tuma application kwa baba mtu..
 
tehe tehe tehe tehe kile kimya kingi kumbe ulienda kuokoka
 
elimu kuanzia form 6 hadi masters.

Yamekuwa hayo tena!!!
 
Amen,Mungu akuongoze ili uweze kupata mke mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…