Mbona kama tunakimbilia CHATO !!!??? ... Kabisa ilikua hivyo hapo mwanzo inaonekana hivyo hata sasa ... na itakua hivyo hapo baadae
Amakweli watanzania wasasa sio wajinga tena ... kama na dhambi nizipate ila nafsi yangu inaomba waanze kupukutika huko juu ...
Watakapoanza kuputika wao ndio watachukua hatua zitakazo pelekea na sisi wachini tunusurike otherwise wataendelea kutuhadaa kwa faida zao za kisiasa hali yakuwa sisi wachini ndio tunaumia na familia zetu
Haya twendeni tuombe kwa pamoja ...
[emoji2969][emoji2969][emoji2969] ... Ewe Mungu Baba tunakuomba uanze kuwapukutisha mmoja baada ya mwingine kuanzia barazani chamwino mpaka pale sebuleni mjengoni ili hatua za makusudi zichukuliwe na sisi wachini tunusurike AMEN!!!