Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Mbona wewe hujafa au wewe ni mbwa?Nenda wewe ukashauri, ukigaragara na kupiga magoti!
Watu wanakufa!
Huko uingereza wanatupiga ban ya kwenda huko wakati nao wanapigwa ban ya kwenda umoja wa ulaya,
Sasa wao na sisi tuna tofauti gani?
Ten afadhali na sisi tunadunda tu bila ya taabu kama wao, maana kifedha wanatuzidi sasa wanashindwaje kujitibu na kuizuia?
Chanjo wamepata lakini bado wanaogopa corona kwa hiyo hiyo chanjo yao ni ya uongo?