Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

Kwani kutuhumu na kushambulia rais wa nchi na taasisi yake si haki ya kikatiba ya Watanzania?
Nakumbuka kwa mbaali kuhusu katiba yetu..!
Inasemaa...Rais hatakiwi kutuhumiwa akiwa madarakani na baada ya kutoka madarakani...

Wanasheria mpooo?
 
Umesahau kuweka na nambari yako ya rununu
 
Sasa akifa huyo jiwe we we na familia yako mnaoshinda hapo ufipani mtafaidika na nini?? Kuchakutwa mnaliombea taifa juuu ya mabayaa. Kumbukeni suala lakorona mpaka sasa hakuna mbinu sahihi ambayo kunataifa ulimwenguni kote wamefanikisha juu ya mapambano dhidi ya korona, kama si huruma ya Mungu kutunusuru.
Kwani Tanzania kuna Korona?
 
Hili suala la Corona si ndio lilisababisha chama cha Mbowe kikavurugika?

Bado hajakoma tu?
 
Pale lugha nyepesi inaposhindwa kufanya kazi, huenda ikatumika mbinu nyingine gente kufikisha ujumbe. Ila ujumbe umeenda hata kwako sio.
 
lugha ya staha ? , Nani atusemee sisi wanyonge , nani atusemee sisi Watanzania . Kila kona ya dunia wanajua sisi Watanzania tulivyo deal na covid -19 . Taasisi za kimataifa ziki zungumzia TANZANIA mnasema sisi ni Taifa huru hatutaki kuingiliwa kwenye mambo yetu ya ndani
 
Hata kwa Lissu mlianza vijineno vya kijinga kama hivi, mwishowe mkampiga risasi. Sasa naona hata Mbowe mnamtafutia vijineno vya kijinga mumpige risasi.
 
Hata kwa Lissu mlianza vijineno vya kijinga kama hivi,mwishowe mkampiga risasi.Sasa naona hata Mbowe mnamtafutia vijineno vya kijinga mumpige risasi.
Uzuri ile orodha ya isiisii bado inaendelea kukua hivyo kusanya vielelezo kadiri uwezavyo ili wote wale wanashabikia na kuchochea maovu ,hatimae siku wawanibike.
 
Ukweli utajulika tu, nani anadanganya umma na nani mkweli ni suala la muda tu, si mpaka taaluma za watu mmeamua kuziingilia hamtaki wataalamu wa afya kuongelea hili suala la Corona
 
Back
Top Bottom