Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

Tatizo kuna watu wanamuona Rais kama Mungu mtu wakati ni mtu tu kama wengine na yeye ana siku yake kama mwingine yeyote yule, ni shida sana..!!
 
Sasa akifa huyo jiwe we we na familia yako mnaoshinda hapo ufipani mtafaidika na nini?? Kuchakutwa mnaliombea taifa juuu ya mabayaa. Kumbukeni suala lakorona mpaka sasa hakuna mbinu sahihi ambayo kunataifa ulimwenguni kote wamefanikisha juu ya mapambano dhidi ya korona, kama si huruma ya Mungu kutunusuru.
Asimamishe miradi aagize chanjo, hapo tungeamini anajali wananchi
 
Nasikitika kuwa ushauri wako umeangukia kwenye sikio lililokufa!
 
Kifupi ni kuwa Rais ameonesha udhaifu kiuongozi kwa kupenda sifa asokuwa nazo
 
Lini uliwahi kumshauri huyo dhalimu anayetaka kupiga Mashangazi na akina Mama? Au kauli zake kwako wewe muunga juhudi huzioni kama zina kasoro kubwa sana?
 
Labda aende chuo cha diplomasia kwa kodi fupi au Mwalimu Nyerere University
 
Mbowe kama Mbowe baada ya uchaguzi kuisha na kumshinda Magu kwa Nyomi za kutosha kweny mikutano ya kampeni.
 
Sasa na yale maandamano ya yule kiongozi wa dini nayo vp?
 
Back
Top Bottom