Huyu kaka kipindi anakufa Ilikua miezi minne tu tangu wafanye harusi yao.
Inasemekana alikua ghafla usingizini wanasema moyo ulisimama ghafla..sijui ndo heart attack.ila alikua hata haumwi.mzima was afya.
Wengi wanaompost ni ndugu jamaa na marafiki,zaidi ni wale watu waliohusika katika harusi yake mfano huyo mc,mama imani open kitchen upande wa chakula nk.
Nlishawahi shuhudia hivhivi mdada kaolewa baada ya miezi mitatu kafa,kuna mwingine katolewa mahari wiki hiyohiyo ghafla mamake kafia usingizini.
Maharusi wengi sana baada ya mda mfupi wanakufa.