Bwana harusi afariki

Bwana harusi afariki

Sad
Mimi nilisikia wanasema hakuumwa,alilala usiku ndo ikawa basi hakuamka tena
May he Rest easy
 
Maex sijui wana hali gani? Sipati picha uachwe na mwanaume mzuri kama huyu uone harusi yake then usikie kafa.Mungu turehemu

maisha ya binadamu yana mambo mengi sana na siri nyingi mno

1.anaweza kafa kiasili, ugonjwa, ajali n. AU
2.kauawa na maadui, mke, baba mkwe, ndugu, kazini, partners wa kibiashara

In real life kila mtu close to him au associated na yeye ni suspect

So hauwezi kuusemea moyo wa mtu, never
 
Pole yao.
Mungu awatie nguvu.


Nimekumbuka ule msiba wa kijana Kajuna..mkewe alikuwa hodari anaimba na mapambio kanisani siku ya ibada ya mumewe aiseee..kuna watu ni majasiri[emoji119]
 
Uzuri ni kwamba mwanamke bado mbichi atapata wakufanana naee tu...... ma x huko walipo naona ni shangwe tu
 
Huyu kaka kipindi anakufa Ilikua miezi minne tu tangu wafanye harusi yao.
Inasemekana alikua ghafla usingizini wanasema moyo ulisimama ghafla..sijui ndo heart attack.ila alikua hata haumwi.mzima was afya.
Wengi wanaompost ni ndugu jamaa na marafiki,zaidi ni wale watu waliohusika katika harusi yake mfano huyo mc,mama imani open kitchen upande wa chakula nk.

Nlishawahi shuhudia hivhivi mdada kaolewa baada ya miezi mitatu kafa,kuna mwingine katolewa mahari wiki hiyohiyo ghafla mamake kafia usingizini.
Maharusi wengi sana baada ya mda mfupi wanakufa.
 
Back
Top Bottom