Bwana harusi afariki

Duuh kweli tunatembea na kifo
Kweli nimeogopa

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Pole yao.
Mungu awatie nguvu.


Nimekumbuka ule msiba wa kijana Kajuna..mkewe alikuwa hodari anaimba na mapambio kanisani siku ya ibada ya mumewe aiseee..kuna watu ni majasiri[emoji119]
Yule engineer wa railway eeeeeh....Aisee the wife was strong naona amekua motivational speaker siku hizi Nora ila ujasiri wake aiseee hata wamama wa kwenye ndoa za miaka na miaka huwa hawana. Kwa namna alivyokua aidha ana imani thabiti sana kiasi cha kuimba kuongoza mapambio au akili ilimruka hadi akawa hana uchungu. All in all ni mapito makubwa sana wamepitia,ujane katika umri mdogo.
 
I
Huyohuyo

Inasikitisha sana binti mdogo namna ile anakuwa mjane..

Aisee nadhani akili ilimruka yule dada🙌
 
RIP Max
Pole sana Natasha na familia.
Njia ni yetu sote
 
was he killed

ni TZ mtu anakufa tu na watu wanaona kawaida kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…