The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Ni kweliSadly.
MASAHIHISHO;
Huyu siyo bwana harusi tena kwani ndoa tiyari ilishafungwa toka mwaka jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliSadly.
MASAHIHISHO;
Huyu siyo bwana harusi tena kwani ndoa tiyari ilishafungwa toka mwaka jana
Duuh kweli tunatembea na kifoHuyu kaka kipindi anakufa Ilikua miezi minne tu tangu wafanye harusi yao.
Inasemekana alikua ghafla usingizini wanasema moyo ulisimama ghafla..sijui ndo heart attack.ila alikua hata haumwi.mzima was afya.
Wengi wanaompost ni ndugu jamaa na marafiki,zaidi ni wale watu waliohusika katika harusi yake mfano huyo mc,mama imani open kitchen upande wa chakula nk.
Nlishawahi shuhudia hivhivi mdada kaolewa baada ya miezi mitatu kafa,kuna mwingine katolewa mahari wiki hiyohiyo ghafla mamake kafia usingizini.
Maharusi wengi sana baada ya mda mfupi wanakufa.
Yule engineer wa railway eeeeeh....Aisee the wife was strong naona amekua motivational speaker siku hizi Nora ila ujasiri wake aiseee hata wamama wa kwenye ndoa za miaka na miaka huwa hawana. Kwa namna alivyokua aidha ana imani thabiti sana kiasi cha kuimba kuongoza mapambio au akili ilimruka hadi akawa hana uchungu. All in all ni mapito makubwa sana wamepitia,ujane katika umri mdogo.Pole yao.
Mungu awatie nguvu.
Nimekumbuka ule msiba wa kijana Kajuna..mkewe alikuwa hodari anaimba na mapambio kanisani siku ya ibada ya mumewe aiseee..kuna watu ni majasiri[emoji119]
COVID19 nini? au mtoto kamzidi 6×6 nini
HuyohuyoYule engineer wa railway eeeeeh....Aisee the wife was strong naona amekua motivational speaker siku hizi Nora ila ujasiri wake aiseee hata wamama wa kwenye ndoa za miaka na miaka huwa hawana. Kwa namna alivyokua aidha ana imani thabiti sana kiasi cha kuimba kuongoza mapambio au akili ilimruka hadi akawa hana uchungu. All in all ni mapito makubwa sana wamepitia,ujane katika umri mdogo.
Qasam binllah wallah ladhim!!Maex sijui wana hali gani? Sipati picha uachwe na mwanaume mzuri kama huyu uone harusi yake then usikie kafa.Mungu turehemu
Kidumu chama cha maselakuoa ni kukimbilia kifo jamaan bora kuishi bachela
Jmn,nakumbuka ili trend sn hii harusi,kwann jmn[emoji26]
UtumboHua nashangaa sawanaosikitika mtu akifa.... Yani hamtaki nature ifanye kazi yake?? Ujue dunia haiwezi jiendesha bila viumbe kufa na vingine kuzaliwa
Au alioa mali ya wenyeweYawezekana bibi harusi ana jini makata