Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Poleni wafiwa
Ila nimeona kapostiwa saana.niulize kwani Ni Nani?
Cc@mshana
Ila nimeona kapostiwa saana.niulize kwani Ni Nani?
Cc@mshana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unamfahamu?!Ohooo maskini [emoji24][emoji24][emoji24]
Siwezi zungumza zaidi ya kumuombea pumziko la milele.pole za dhati ziende kwa mke,ndugu jamaa na marafiki.[emoji120][emoji120][emoji120]
Anamfaamu wapi Basi tu mihemkoKwahiyo unamfahamu?!
Maex sijui wana hali gani? Sipati picha uachwe na mwanaume mzuri kama huyu uone harusi yake then usikie kafa.Mungu turehemuKwahiyo unamfahamu?!
Wewe unamfahamuKwahiyo unamfahamu?!
Kwani wewe ulipocomment hapo unamfahamu!!au ndo mihemko ChiefAnamfaamu wapi Basi tu mihemko
Khaaa!Maex sijui wana hali gani? Sipati picha uachwe na mwanaume mzuri kama huyu uone harusi yake then usikie kafa.Mungu turehemu
Faraja gan hiyo tena? Kwa si wapo ndugu wa mme na wakwao wanamfariji?Huyo mjane anatakiwa apate faraja haraka sana ili asipate msongo wa mawazo
AiseeOhooo maskini [emoji24][emoji24][emoji24]
Siwezi zungumza zaidi ya kumuombea pumziko la milele.pole za dhati ziende kwa mke,ndugu jamaa na marafiki.[emoji120][emoji120][emoji120]
MwakaU bwana harusi ni sifa anayokuwa nayo mtu muda gani kabla na hata baada ya Harusi yake?
Poleni wafiwa.