Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina.
Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili.
Wachaga kiasili wanaaminika kuwa watu wacha Mungu, na kuna viongozi wengi wa kanisa kama Maaskofu Shoo
wa KKKT na Ruwaichi Roman Catholic.
Jamii imeanza kuoza kwa mambo ya kishirikina.
MODS NAOMBA MNIBADILISHIE JINA KWENYE HEADING, NI MASSAWE SIYO ULOMI