Bwana harusi Ulomi kukutwa kwa sangoma- wachaga mmeniangusha sana.

View attachment 3179303Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g.
Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina.
Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili.

Wachaga kiasili wanaaminika kuwa watu wacha Mungu, na kuna viongozi wengi wa kanisa kama Maaskofu Shoo
wa KKKT na Ruwaichi Roman Catholic.

Jamii imeanza kuoza kwa mambo ya kishirikina.
Mshana Jr niliona ukiuliza hii mahali
 
Sema umeandika PUMBA kijana, 🤒🤒🤒🤒,

. Kila kabila hapa TANZANIA ni washirikina Sema wamezidiana uwezo.
 
View attachment 3179303Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g.
Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina.
Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili.

Wachaga kiasili wanaaminika kuwa watu wacha Mungu, na kuna viongozi wengi wa kanisa kama Maaskofu Shoo
wa KKKT na Ruwaichi Roman Catholic.

Jamii imeanza kuoza kwa mambo ya kishirikina.
Songoma hasaidii chochote unapodaiwa!Kuna Jamaa yangu Mmoja alipatia short ya cash kazini Sangoma akamdanganya hutofukuzwa kazi,kama vile alichochea kikawaka kwa spidi ya G6!Mungu Ndio yote katika yote,ila sio kwa madeni lazima ulipe.
 
View attachment 3179303Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g.
Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina.
Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili.

Wachaga kiasili wanaaminika kuwa watu wacha Mungu, na kuna viongozi wengi wa kanisa kama Maaskofu Shoo
wa KKKT na Ruwaichi Roman Catholic.

Jamii imeanza kuoza kwa mambo ya kishirikina.
Ilo kabila ndio namba moja kwa uchawi,japo watani zangu ila ni wachawi wakubwa
 
View attachment 3179303Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g.
Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli na anaamini ushirikina.
Asante sana polisi yenye mkono mrefu kwa kufichua hili.

Wachaga kiasili wanaaminika kuwa watu wacha Mungu, na kuna viongozi wengi wa kanisa kama Maaskofu Shoo
wa KKKT na Ruwaichi Roman Catholic.

Jamii imeanza kuoza kwa mambo ya kishirikina.
Mbona wachagga na ndagu ni damu damu especially hao wa Rombo wanatumia sana dawa kutoka kwa majirani zao Wakamba.
 
Kwahiyo huyo mtu mmoja ndio anawakilisha wachaga wote mkuu?

Kila jamii hua ina watu wazuri na watu wabaya,hakuna jamii ambayo ina watu wazuri wote au wabaya wote,tabia ya mtu ni issue ya individual na sio jamii nzima.
Yangekuwa ni mazuri unge generalize. That's self serving mind nature.
Mfano mchaga akafanya makubwa utasema kuwa tuko vizuri.

Pia ingetokea kwa wengine kabila unge generalize kuwa Hawa wako ivyo ivyo nawajua ndio tabia zao.
Mfano Hawa jamaa kwa mapanga ama kurogana ndio zao.
Yaani unge seek the least resistance path of your brain sema hapa una defend.
All.in all.umeeleweka
 
Hii comment yako ilitakiwa impinge mleta mada,
Bila shaka umejichanganya tu kuniquote Mimi coz comment yako ipo tofauti kabisa na nilichokiandika mimi.
 
Nalisemea hili from experience. Kuna jirani yangu simtaji jina, mwanamke mchaga, alikuwa mshirikina ile mbaya.
Tuligombana sana issues simple za mpaka, hataki maridhiano na vitisho vingi.
Sikumuogopa hata kidogo na nikampeleka Mahakamani ambako alishindwa, lakini akaendelea na vitimbwi.
Kwa imani yangu huwa hanitishi mtu, mwishoni huyo mama akapata majanga ya ajabu, akapofuka.
Miaka michache baadaye akafariki kiajabu.
Mchaga huyo.
Kwa hiyo jirani yako na huyo jamaa ndio ana conclude wachaga wote?
Hizi assumption huwa mnazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom