Bwana harusi Ulomi kukutwa kwa sangoma- wachaga mmeniangusha sana.

Bwana harusi Ulomi kukutwa kwa sangoma- wachaga mmeniangusha sana.

Kwahiyo huyo mtu mmoja ndio anawakilisha wachaga wote mkuu?

Kila jamii hua ina watu wazuri na watu wabaya,hakuna jamii ambayo ina watu wazuri wote au wabaya wote,tabia ya mtu ni issue ya individual na sio jamii nzima.

Samaki mmoja akiongiza, tenga zima linawekwa pembeni. Wachaga wa zamani hawakuwa watafuta mali za kishirikina, ingawa haina maana uchagani hakuna ushirikina.
Ila sasa hivi wameunganisha nguvu na wapare, wasambaa, wakinga, wasukuma, wangoni, wafipa etc...burudani tupu
 
Wakinga ni balaa!
 
Nalisemea hili from experience. Kuna jirani yangu simtaji jina, mwanamke mchaga, alikuwa mshirikina ile mbaya.
Tuligombana sana issues simple za mpaka, hataki maridhiano na vitisho vingi.
Sikumuogopa hata kidogo na nikampeleka Mahakamani ambako alishindwa, lakini akaendelea na vitimbwi.
Kwa imani yangu huwa hanitishi mtu, mwishoni huyo mama akapata majanga ya ajabu, akapofuka.
Miaka michache baadaye akafariki kiajabu.
Mchaga huyo.
Itakua ulimroga
 
Back
Top Bottom