Bwana harusi Ulomi kukutwa kwa sangoma- wachaga mmeniangusha sana.

Kwahiyo huyo mtu mmoja ndio anawakilisha wachaga wote mkuu?

Kila jamii hua ina watu wazuri na watu wabaya,hakuna jamii ambayo ina watu wazuri wote au wabaya wote,tabia ya mtu ni issue ya individual na sio jamii nzima.

Samaki mmoja akiongiza, tenga zima linawekwa pembeni. Wachaga wa zamani hawakuwa watafuta mali za kishirikina, ingawa haina maana uchagani hakuna ushirikina.
Ila sasa hivi wameunganisha nguvu na wapare, wasambaa, wakinga, wasukuma, wangoni, wafipa etc...burudani tupu
 
Wakinga ni balaa!
 
Itakua ulimroga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…