Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Kumuita Halima Mzee Halima ni matusi? Au ni kejeli? Acha hizo mkuu, mzee ni heshima hata wewe twaweza kuita mzee The Boss
 
Job ndugai ameunajisi mhimili wa bunge, bunge limekuwa sawa na ng'ombe aliyeasiwa
 
Hili neno, barua iende kotekote, na wauthibitishie umma wa watanzania, maana nchi hii yawezekana, wanatuchezea COMEDY! 😀

Everyday is Saturday................................😎
 
Kwa nini kukubali kukaa na Spika mgonjwa ambaye kumbe hata afya ya akili imeathirika kwa miaka mitano mizima kama vile nchi haina watu makini?
Watu wa CCM hata wao wanaathirika kuwa na Spika mgonjwa! Nao waliseme hili kwa faida ya taifa sio kunyamaza kwa vile anawakomoa Chadema. Kesho tukinyimwa msaada kwa sababu ya bunge bovu jee ni maumivu kwa Chadema pekee?
Tupaze sauti wote kwa pamoja NDUGAI JIUZULU ILI UTIBIWE, WEWE NI MGONJWA
 
Nalia Sana maana wengi hawajuwi Ila hii nidalili mbaya kuwahi tokea. Maana yote yametokea yameweka serikali yangu ktk Sura mbaya ya haki za kibinadam na utawala wa Sheria.
 
Kuna nchi ina spika bogus kama huyu? hivi na hao wanaotoa trilioni 2 ni wajinga kama spika?

Ukimsikiliza Ndugai ni kama anafanya hivyo ili kuwakomoa cdm, na anashindana na watu wa mitandaoni wanaompa ukweli mchungu. Kwa ujumla serikali hii inafanya kazi kushindana na cdm, na kuwakomoa watu wa mitandaoni mpaka wanageuka vituko.
 
Kumuhurumia msaliti kwasababu yoyote ile ni kujitafutia laana.
 
Kweli chadema ina watu wajinga sana!

Yani Malisa nae kajiunga na kigogo kumuita Halima mzee?

Historia inaonesha kwamba pale chadema kila mtu huwa anasurubiwa kwa wakati wake kulingana na nyakati!

Zitto pamoja na kupigana hadi jasho la damu lakini lilipokuja suala la maslahi ya Mbowe alikiona cha moto

Slaa pamoja na kuvunjika hadi mikono akipigania chadema lakini lilipokuja suala la maslahi ya Mbowe alikiona cha moto.

Sasa hivi ni zamu ya Mdee!

Huyu Malisa ni kidagaa tu pale chadema, ningekuwa mimi ningejikalia kimya tu bila kumkejeli Halima.
 
Kabisa mkuu!

Malisa ni kidagaa tu pale chadema ila anajitia kimbelembele.
 
Mi namuonaga Ndungai kama mwanasesere tu, hana jipya. Kuwepo kwa wabunge wa Chadema kwa sasa kunawasaidia CCM kuliko unavyowasaidia chadema, bora wakose hizo ruzuku. Wajue kuwa demokrasia ina gharama. apambane na chama chake huko aachane na chadema.
 
Kuna jambo moja kati ya mawili mheshimiwa wetu huyu inapaswa ayafafanue.
Mosi; aseme kama anakataa hawa 19 kufutwa uanachama wa CHADEMA;ama
Aseme kuwa hawa 19 wataendelea na ubunge wao japokuwa wamefutiwa uanachama huko walikokuwa.
Namaliza kwa swali kuwa, hivi inawezekana katiba yetu sio andishi tena bali ya matamshi tu?
 
Ila wee jamaa nawe huna tofauti na ndugai watu wamefukuzwa na chama na kamati kuu imetoa maamuzi bado unasema janja ya mbowe na mnyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…