Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Chadema ni imani nimekuelewa sana
 

Sitetei udhalilishaji, lakini hebu tuambie Lowasa alipoondoka ccm kashfa zake toka kwa wanaccm na matusi ya nguoni yalikuwa ya kiwango gani? Ama unadhani tumesahau Mbunge msukuma alivyokuwa anasema Lowassa kajinyea mbele ya Magufuli huko Geita?
 
Sitetei udhalilishaji, lakini hebu tuambie Lowasa alipoondoka ccm kashfa zake toka kwa wanaccm na matusi ya nguoni yalikuwa ya kiwango gani? Ama unadhani tumesahau Mbunge msukuma alivyokuwa anasema Lowassa kajinyea mbele ya Magufuli huko Geita?
Kwahiyo wanachema na chadema hawana tofauti na ccm na wanaccm?

Basi sawa.
 
tunapotaka vyeo tuwe na akili na uwezo unaolingana na nafasi yenyewe, sio kutaka nafasi flani ili tu uweke historia kuwa uliwahi kuwa mtu flani katika nchi.
yanayoendelea sakata la waliokuwa wabunge wa chadema ni aibu.Kwa mtu anayetumia akili vizuri anajua lengo ni ninihapo
 
Kwa akili yako chadema hii iko hai?
 
Kiukweli siasa siijui ila ndugu yangu hapa Pascal Mayalla anaweza kuyajibu maswali yote uliyouliza labda tuu aamue kukaa kimya kwa sababu zakichama
 
Atakataa tu kupokea barua yeyote kutoka Chadema. Anaweza kusema hatambui sahihi, mbona wamesaini kwa wino wa blu badala ya mweusi, kwa nini Mnyika hakumpelekea ofisini kwake, karatasi walizotumia hazikidhi kiwango n.k.

Amandla...
 
yako mambo yanatia kichefuchefu kumbe ndio maana wale wasio na uvumilivu wanaandika kwa kumaliza hivi huyo wanafamilia wake (watoto.mke shemeji na wengine kama hao) wanayasoma hayo yanao mhusu Mlikuwa wengi lakini mawe yote kwako unaweza ukajidanganya kuwa unajua lakini wako wengi tu wanajua hujui bac sawa shauri yako
 
Mi nadhani kwakua chama hakijawateua naona hakuna haja yakulijulisha bunge. wakilijulisha bunge inamaana uteuzi wao chama kilikuwa kinaujua. Kuwafukuza inatosha
 
Wasomi wengine kama ndugai,bwana ni hasara tupuuuuuuu.
 
Relax mzee, hizo ni 'tambo' tu katika siasa.
Of course 'mzee mdee' kapoteza legacy yake kutokana na tamaa ya tumbo na mamlaka. ! Wao Chadema washamaliza kazi.


Mkuu kwa CDM hata JPM angekuwa kule halafu akafanya fyongo zamani angeshasahaulika ndani ya chama kwani huku watu hawalembi wala kupiga selfie
 
Mkuu kwa CDM hata JPM angekuwa kule halafu akafanya fyongo zamani angeshasahaulika ndani ya chama kwani huku watu hawalembi wala kupiga selfie
Pole sana mkuu! Na kwa sababu hiyo chadema sasa inakaribia ikulu, na sasa ina wabunge robo tatu nzima eti?
 
Ndugai hana akili

Anachopaswa kujua ni kuwa kuna njia 2 za mtuhumiwa kutoka gerezani

1. Kwa amri ya Mahakama

2. Kwa msamaha wa Raisi

Endapo DPP ataona hana nia ya kuendelea na kesi na anataka kumuachia mtuhumiwa aliyepo gerezani ni lazima aende kwanza kuitaarifu mahakama na mahakama ndo inatoa amri ya kumtoa mtuhumiwa gerezani. DPP hana mamlaka ya kumtoa mtuhumiwa gerezani , ni lazima apitie kwa mahakama.

Kwa upande wa Raisi yeye ndo pekee mwenye amri ya kumtoa mtuhumiwa au mfungwa gerezani.
Kwa suala la Nusrat ni hekima kwa Ndugai kuchutama maana hili suala limewavua nguo. Nusrati hata kama kulikuwa na nole ya DPP lakini hakukuwa na amri ya mahakama ya kumtoa gerezani.

Kwa upande wa Raisi hakuna popote Raisi alipotoa amri ya kuachiwa kwa Nusrat.

Hivyo Ndugai aambiwe, achutame tu. Wako uchi
 
Kuna watu wenye mazali yao,unauokota kutoka kusikojulikana,bahati hiyo itanikuta na Mimi lini?
 
Malisa GJ msitusumbue. Ikiwezekana fukuzanane wote mgawane vyombo vya pale Ufipa. Mambo yenu yametuchosha. Unashabikia wenzako kufukuzwa ipo siku wengine watashangilia kufukuzwa kwako. Tunza hii komenti. Utaifanyia rejea.
 

Wataalamu wa sheria naomba kujuzwa kama sheria inampa haki Rais kumsamehe mtuhumiwa yaani mtu ambaye hajahukumiwa na kufungwa jela kwa katiba hii inayotumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…