Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Wakati anamfukuza halima bunge akujua kwamba ni unyanyasaji wa kijinsia.
Wakati wanawapora ushindi wao kawe, bunda na tarime awakujua Hawa ni wanawake, na wanawanyanyasa sababu ni wanawake.
Ye awape huo ubunge lkn pesa za mabeberu wasahau. Beberu sio msukuma
Watu wa sinema wako wap watengeneze movi tangu kina Ben Saanane kupotezwa hadi Tundu Lissu kutimbwa risasi hadi... Hadii hivi vituko vya sasa. Eee itakuwa muvi kali italipa!
 
Kaandika Bibi Happy
MBOWE NI NANI?
Kwa hiyo Mbowe ni Kamati kuu ya CHADEMA? Au Mbowe aishurutishe kamati kuu?

Ngoja kwanza....
Kwamba Mdee alivunjika akiwa anazungumza na Mbowe? Au Bulaya ALIPIGWA na Mbowe hadi akazimia? Au Matiko alilazwa kisa alifumwa na Mbowe? Yaani MBOWE ni nani jamani hata hakamatiki akipiga hawa wanawake?...
Acha maswali ya kizushi yasiyo na tija Tambua kuwa covid 19 walijiteua kienyeji pasipo indhini yeyote wala baraka toka kwa kamati kuu, na kibaya zaidi hawakujali mabaya mateso manyanyaso waliyofanyiwa na CCM wakajitoa fahamu kwenda kufunga ndoa na CCM kienyeji kwa njia haramu za kishetani, chama kwanza chadema kwanza hao covid 19 acha wawe michepuko ya wakware huko CCM hata wakiwa wabunge wa mahakamaccm ruksa tu, kuwa mbunge wa Ndungai kwao ni sifa wamesahau kuwa Ndungai aliwanyanyasa sana ikiwemo kuwadhalilisha kwa kutumia Asikari wa bunge kuwatoa nje ya kumbi za bunge
 
Ndungai sasa ni dhahiri anachepuka na Bulaya kwa mjibu wa Msiri wa CCM le mutuz , Ndungai kajitoa fahamu anawatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetani kisa Demu wake katolewa kafara kwa upumbavu wake
Mmjoa hapo wanasema yupo kwenye 750KV..
 
Mgogo wakati akimfukuza halima bungeni haikuwa ni unyanyasaji wa kijinsia.Ccm ilipora ubunge wa mdee,esta,haikuwa ni unyanyasaji? Wala kuwaonea huruma kwamba Hawa ni wanawake
 
Watanzania tunadhalilishwa sana na huu uongozi wa sasa, Katina yetu imekisa maana kabisa, bado najiuliza kwanini mzee JPM anafanya haya?

Inahuzunisha sana.
 
Mbowe amedhalilisha wanawake na ndio mwenye kuhitaji haraka daktari wa saikolojia.

Hana tena jukwaa la kuonekana, ni suala linalomuumiza kichwa.

Mzee Mtei alipoanzisha chadema hakuwa na maono yenye kufanana na kunachoendelea ndani ya chama kwa sasa.
 
Hivi sijui.kwanini CCM mara zote huwa hawajibu hoja badala yake humshambulia mtu na kuacha hoja za msingi. Sasa ukisikiliza majibu ya Ndugai utaamini kuwa ni mtu mwenye sifa ya kuwa spika wa bunge? Mbona ni kama mjinga fulani asiyekuwa na elimu yoyote kichwani?
Umenikumbusha kipindi Fulani walifanyiwa mdahalo Ndu gay na Mnyika ,sikumbuki ilikuwa TV station gani,kajamaa kalizidiwa hoja na Mnyika,kalitaka kuleta fujo.
 
Ndungai sasa ni dhahiri anachepuka na Bulaya kwa mjibu wa Msiri wa CCM le mutuz , Ndungai kajitoa fahamu anawatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetani kisa Demu wake katolewa kafara kwa upumbavu wake
... ongezea na mchepuko kwa Matiko, duh! Halafu mtu unaenda ibada hautubu na kuacha uliyopaswa kuyatubu. Devil incarnate!
 
Kwani kumuita mtu mzee siku hizi siyo heshima bali ni tusi! Wakati umeenda wapi? Kwani Halima kwa miaka yake 45 hafai kuitwa mzee? Mbona Mo Dewj ,Onyango ,Mrisho Ngasa wanaitwa wazee na hawajalalamika?
Kuitwa mzee ni heshima, Hata hapa Jf tunaitana mkuu hii ni heshima
 
Ni bora Mbowe akajiuzulu uenyekiti wa chama kuliko fedheha anayo ipata, chama kinamwifia mikononi halafu wanachama na wafuasi hawaelewi!

Tatizo sio Mdee na wenzake tatizo ni uongozi mbovu uliopo, leo tunaona kina Halima kama wasaliti lkn kesho hao hao walio wasema utashangaa naonwanahama chamama tatizo lipo kwenye uongozi, Mbowe amegeuza chama ni mali yake
 
Kwani kumuita mtu mzee siku hizi siyo heshima bali ni tusi! Wakati umeenda wapi? Kwani Halima kwa miaka yake 45 hafai kuitwa mzee? Mbona Mo Dewj ,Onyango ,Mrisho Ngasa wanaitwa wazee na hawajalalamika?

uliishawahi kuona wapi mwanamke anaitwa mzee fulani!!!

au mmevuta bangi na nyinyi!!
 
Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.

Malisa GJ

Mosi; Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Mzee Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge, wafadhili wanaweza kugomea kutoa yale matrilioni...
Ndugai anapangia CHADEMA nani aingie bungeni na nani asiingie, hovyo kabisa huyu mzee
 
Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.

Malisa GJ

Mosi; Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Mzee Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge, wafadhili wanaweza kugomea kutoa yale matrilioni...
Hayo ndio madhara ya julian maharage.

Maana utavuna maharage.

Huwezi kushinda kwa magumashi ikitegemea utafuata taratibu ni ngumu.

Nchi yetu hii imekuwa ikiiendeshwa law matamko hakuna sharia.

Vilevile watu hawajibu hoja wanabaki kushambulia kwa hoja dhaifuu
 
Hivi sijui.kwanini CCM mara zote huwa hawajibu hoja badala yake humshambulia mtu na kuacha hoja za msingi. Sasa ukisikiliza majibu ya Ndugai utaamini kuwa ni mtu mwenye sifa ya kuwa spika wa bunge? Mbona ni kama mjinga fulani asiyekuwa na elimu yoyote kichwani?
Mkuu siasa zetu zimewafanya walio kwenye system kuwa mazezeta. Jamaa sijui aliqualify vipi kuwa speaker wa Bunge letu 😭😭
 
Siyo spika tu Mkuu. Bali ni kuanzia Ikulu, Bunge lote na Serikali yote kote huko ni BOGUS!
Hatari sana gari inapokuwa inaendeshwa na dereva aliyelewa chakari.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom