Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
Isikutie shaka akili mbovu ya yule bwana wao ije kukutia shaka akili mbovu ya huyo tarishi wake! Kwani hujui akili mbovu imeanzia kwa bwana wao? Acha mzaha aisee.
 
Siyo spika tu Mkuu. Bali ni kuanzia Ikulu, Bunge lote na Serikali yote kote huko ni BOGUS!
Wametumia ubabe kupora uchaguzi wa vijiji na serikali za mitaa. Walipoona tumekaa kimya wakapora kibabe ubunge na uraisi. Sasa wamefikia mahali wanaokota tu wanawake na kuwapachika ubunge wa viti maalum kibabe kabisa bila kupitia chama. Wao ni ubabe ubabe. Ila hawa inabidi washitakiwe kwa kugushi, na jumuiya ya kimataifa wajulishwe ubabe huo na kwamba hao sio wabunge wa chadema sawasawa na Katiba. Mzee Msekwa yupo sahihi kabisa.
 
Mkuu

Hii ni wewe au kuna mtu kavamia account yako?

So strange aisee
Mkoa
Dodoma mjini pale hakuna mgogo mwenye duka katikati ya mji
Mimi huyu mgogo nilikuwa nimempa job namlipa vizuri tu,mwisho Wa siku akaniambia anatakiwa arudi nyumbani Mdogo wake kafaulu LA saba shule ya kata iko mbali kidogo na kwao,kwa hiyo amepangisha chumba ,anatakiwa awe anamchotea maji.
Mgogo akaacha ajira
 
Kuna jambo moja kati ya mawili mheshimiwa wetu huyu inapaswa ayafafanue.
Mosi; aseme kama anakataa hawa 19 kufutwa uanachama wa CHADEMA;ama
Aseme kuwa hawa 19 wataendelea na ubunge wao japokuwa wamefutiwa uanachama huko walikokuwa.
Namaliza kwa swali kuwa, hivi inawezekana katiba yetu sio andishi tena bali ya matamshi tu?
Ndugai na boss wake wanavunja katiba wanajua hawawezi kushtakiwa
 
Ndugai hana akili

Anachopaswa kujua ni kuwa kuna njia 2 za mtuhumiwa kutoka gerezani

1. Kwa amri ya Mahakama

2. Kwa msamaha wa Raisi...
Uko sahihi kabisa siku ya kutoa hukumu kuhusu uamuzi wa dhamana mpaka Hakimu alishangaa
 
Kama ulikuwa unaamini bunge lina speaker basi umechelewa mkuu.
Jengo lile halina kiongozi /speaker tangu 2015 going forward-labda tutakuwa na speaker tena 2025 going forward.
Jamaa ni kilaza hata mtoto wa std 3 anamzidi busara na reasoning capacity.

Ndugu yangu IGWE umenena vema. Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu ili tusaidiane kutoa angalao ushauri nasaha na somo kwa wale watakaukubali kupokea hasa katika kipindi hiki ambacho hata wasomi wa PHD nao wanaona njia pekee ya ku survive katika nchi hii ni kujipendekeza kwa mwenye mamlaka ya kugawa utukufu wa duniani!
 
Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.

Malisa GJ

Mosi; Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Mzee Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge, wafadhili wanaweza kugomea kutoa yale matrilioni...
Malisa, naiona shida kubwa kwa nchi hii kwenye masuala ya utawala bora na si Ndugai. Ndugai is just a tip of an ice berg. Haiwezekani kwa mtu kama ndugai kufanya matendo yanayovunja sheria mama ya nchi bila kuwa checked na mamlaka ya juu na hata asikemewe na wasomi. Vyo vyote kuna mamlaka iliyo nyuma ya yote anayofanya Ndugai kiasi kwamba kila mtu anaogopa kukemea ukiukaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi ambayo wote wanaapa kuilinda.

Tumeshudia Mbunge aliyehama rasmi chama na kuacha kuhudhuria bunge akiwa anajua kuwa kisheria hastahili lakini Spika akamwita arudi bungeni aendelee kama Mbunge. Wale wabunge wa CUF waliohamia ACT walifukuzwa uanachama na CUF na haraka haraka spika akaitaka CUF iteue wabunge mbadala lakini Chadema ilipowafuta uanachama wabunge wake mwaka huu bado waliendelea kuwa wabungekinyume na katiba.

Hatari inayotukabili ni hali hiyo kuzoeleka na kuwa ni kawaida kwa watanzanai hasa vijana ambao wako serikalini au kwenye madaraka kufanya hayo hayo na kufanya matukio kama haya ya Ndugai kuwa rejea hapo baadaye. Tunafunza vizazi vyetu kutoheshimu sheria na kuwa biased kwenye maamuzi yao.

Upinzani uko kisheria na ni halali katika nchi hii lakini mtu anapotimiza haki yake hiyo anaonekana kama adui kiasi cha hata akidhuriwa hata vyombo vya dola havihangaiki kufuatilia, lakini akudhiriwa mtu wa chama tawala polisi wanakuwa wepesi sana kufuatilia.

Leo hii mtu amewekwa mahabusu kwa miezi karibia mitatu lakini anakuja kutolewa kiaina kwa sababu mamlaka inataka kutimiza ,malengo yake. Je haki yake iko wapi? Tunakoelekea ni kubaya sana kwani tunakuwa taifa lisilofuta sheria zake.
 
Kweli chadema ina watu wajinga sana!

Yani Malisa nae kajiunga na kigogo kumuita Halima mzee?....
Umeandika "ningekuwa mimi,ningejikalia kimya",lakini hujakaa kimya!!
Hapo nani mwenye tatizo kati yako na Malisa!!??
Kwanini issues za CHADEMA wewe zinakuhusu na kukuumiza kiasi cha kutoweza kukaa kimyaa!?
 
Ndugai shida yake ni Mbowe, anaumuonea wivu Mbowe toka wakiwa Kibaha Secondary
Umasikini mbaya sana,tena ukiwa shule na mtoto wa fogo. Kutokana na umasikini wa familia,hata chakula bora ni shida,hivyo kupelekea kutokuwa na akili,werevu,busara na hekima katika maamuzi. Badala ya kumtumia mtoto wa fogo kuleta fursa za kukutoa kwenye umasikini,eti unamchukia.
 
Ndugai ni bed rest ilipaswa awe wodini milembe akiwa anaendelea dozi za kutibu mental illness
 
Ndugai ni bed rest ilipaswa awe wodini milembe akiwa anaendelea dozi za kutibu mental illness
Wanawake mashoka unaowaona hapa ni kwasababu walipewa nafasi na CHADEMA hapa sitosema Chama chetu kinakandamiza Wanawake, kina Mfumo Dume, tupo hapa kwasababu tulipewa nafasi, Halima Mdee yupo hapa kwakuwa alijengwa, changamoto zinakuwepo ili zitatuliwe” -Mzee MDEE.

Nakala ifike kwa Job Ndugai.
 
Ndungai sasa ni dhahiri anachepuka na Bulaya kwa mjibu wa Msiri wa CCM le mutuz , Ndungai kajitoa fahamu anawatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetani kisa Demu wake katolewa kafara kwa upumbavu wake
Tujikumbushe
 
Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
Now you are talking. Twende taratibu mkuu, tutaelewana tu. Na hiyo katiba anayotaka kuikanyaga kwa kuwaweka "wabunge" wasio na chama, ndo itamshusha to the ground kabisa. Nadhani anawadharau sana Watanzania.
 
Back
Top Bottom