Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

Watu wa sinema wako wap watengeneze movi tangu kina Ben Saanane kupotezwa hadi Tundu Lissu kutimbwa risasi hadi... Hadii hivi vituko vya sasa. Eee itakuwa muvi kali italipa!
 
Acha maswali ya kizushi yasiyo na tija Tambua kuwa covid 19 walijiteua kienyeji pasipo indhini yeyote wala baraka toka kwa kamati kuu, na kibaya zaidi hawakujali mabaya mateso manyanyaso waliyofanyiwa na CCM wakajitoa fahamu kwenda kufunga ndoa na CCM kienyeji kwa njia haramu za kishetani, chama kwanza chadema kwanza hao covid 19 acha wawe michepuko ya wakware huko CCM hata wakiwa wabunge wa mahakamaccm ruksa tu, kuwa mbunge wa Ndungai kwao ni sifa wamesahau kuwa Ndungai aliwanyanyasa sana ikiwemo kuwadhalilisha kwa kutumia Asikari wa bunge kuwatoa nje ya kumbi za bunge
 
Ndungai sasa ni dhahiri anachepuka na Bulaya kwa mjibu wa Msiri wa CCM le mutuz , Ndungai kajitoa fahamu anawatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetani kisa Demu wake katolewa kafara kwa upumbavu wake
Mmjoa hapo wanasema yupo kwenye 750KV..
 
Mgogo wakati akimfukuza halima bungeni haikuwa ni unyanyasaji wa kijinsia.Ccm ilipora ubunge wa mdee,esta,haikuwa ni unyanyasaji? Wala kuwaonea huruma kwamba Hawa ni wanawake
 
Watanzania tunadhalilishwa sana na huu uongozi wa sasa, Katina yetu imekisa maana kabisa, bado najiuliza kwanini mzee JPM anafanya haya?

Inahuzunisha sana.
 
Mbowe amedhalilisha wanawake na ndio mwenye kuhitaji haraka daktari wa saikolojia.

Hana tena jukwaa la kuonekana, ni suala linalomuumiza kichwa.

Mzee Mtei alipoanzisha chadema hakuwa na maono yenye kufanana na kunachoendelea ndani ya chama kwa sasa.
 
Umenikumbusha kipindi Fulani walifanyiwa mdahalo Ndu gay na Mnyika ,sikumbuki ilikuwa TV station gani,kajamaa kalizidiwa hoja na Mnyika,kalitaka kuleta fujo.
 
Ndungai sasa ni dhahiri anachepuka na Bulaya kwa mjibu wa Msiri wa CCM le mutuz , Ndungai kajitoa fahamu anawatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetani kisa Demu wake katolewa kafara kwa upumbavu wake
... ongezea na mchepuko kwa Matiko, duh! Halafu mtu unaenda ibada hautubu na kuacha uliyopaswa kuyatubu. Devil incarnate!
 
Kwani kumuita mtu mzee siku hizi siyo heshima bali ni tusi! Wakati umeenda wapi? Kwani Halima kwa miaka yake 45 hafai kuitwa mzee? Mbona Mo Dewj ,Onyango ,Mrisho Ngasa wanaitwa wazee na hawajalalamika?
Kuitwa mzee ni heshima, Hata hapa Jf tunaitana mkuu hii ni heshima
 
Ni bora Mbowe akajiuzulu uenyekiti wa chama kuliko fedheha anayo ipata, chama kinamwifia mikononi halafu wanachama na wafuasi hawaelewi!

Tatizo sio Mdee na wenzake tatizo ni uongozi mbovu uliopo, leo tunaona kina Halima kama wasaliti lkn kesho hao hao walio wasema utashangaa naonwanahama chamama tatizo lipo kwenye uongozi, Mbowe amegeuza chama ni mali yake
 
Kwani kumuita mtu mzee siku hizi siyo heshima bali ni tusi! Wakati umeenda wapi? Kwani Halima kwa miaka yake 45 hafai kuitwa mzee? Mbona Mo Dewj ,Onyango ,Mrisho Ngasa wanaitwa wazee na hawajalalamika?

uliishawahi kuona wapi mwanamke anaitwa mzee fulani!!!

au mmevuta bangi na nyinyi!!
 
Ndugai anapangia CHADEMA nani aingie bungeni na nani asiingie, hovyo kabisa huyu mzee
 
Hayo ndio madhara ya julian maharage.

Maana utavuna maharage.

Huwezi kushinda kwa magumashi ikitegemea utafuata taratibu ni ngumu.

Nchi yetu hii imekuwa ikiiendeshwa law matamko hakuna sharia.

Vilevile watu hawajibu hoja wanabaki kushambulia kwa hoja dhaifuu
 
Mkuu siasa zetu zimewafanya walio kwenye system kuwa mazezeta. Jamaa sijui aliqualify vipi kuwa speaker wa Bunge letu 😭😭
 
uliishawahi kuona wapi mwanamke anaitwa mzee fulani!!!

au mmevuta bangi na nyinyi!!
We jamaa uko mbali Kama unaishi dunia ya kwako na haupo Tz. Hilo neno "mzee" kwa Halima lina maana yake.
 
Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
Nimefarijika kusoma hii toka kwako. Ikabid nirudie mara kadhaa kuangalia id yako😂
 
Siyo spika tu Mkuu. Bali ni kuanzia Ikulu, Bunge lote na Serikali yote kote huko ni BOGUS!
Hatari sana gari inapokuwa inaendeshwa na dereva aliyelewa chakari.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…