Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

ChatGPT
Dear Eliza,
Nashauri uzingatie mambo muhimu zaidi katika uhusiano wako. Kipato na aina ya kazi siyo kila kitu. Ikiwa jamaa anakupenda kwa dhati, anakuokoa na anazingatia maadili yenu, hilo ni jambo la thamani. Ni muhimu kujadili wazi hisia zako na wasiwasi kuhusu hali ya kifedha. Kuaminiana na kujenga mawasiliano mazuri ni msingi wa uhusiano imara. Pia, fikiria kuhusu maisha yako pamoja na maamuzi yenu ya baadaye. Kama mnaweza kufanya kazi pamoja kuelekea malengo yenu, kipato chake kitapanda na mabadiliko mazuri yanaweza kutokea. Muhimu zaidi, fanya uamuzi kwa moyo wako na kwa mustakabali wenu pamoja.
Imebidi nikamuombe msaada ChatGPT.
Hahaha
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672
wewe ni slay qyn
 
Back
Top Bottom