Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

msizini. hakikisha mnawajulisha viongozi wenu wa kiroho, watawashauri na pia watamwomba Mungu, kama ni mumeo kibali kitakuwa dhahiri. Kisha mtafunga ndoa na Mungu atawabariki mbele ya safari. imeandikwa "msiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana, maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyoonekana ni vya milele."

sifa ya kwanza ya mtu ALIYEOKOKA ni kumwamini Mungu kwenye mambo yote.

Jesus is Lord
 
amina mtumishi
 
Back
Top Bottom