Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
š„š„ŗNatafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š„š„ŗNatafuta
Naona umeme umerudi kwakoš„š„ŗ
Upo wakutosha tu na haukatiki katikiš¤£š¤£vp nikugawie naweNaona umeme umerudi kwako
Njoo nikuowe Mimi,Mke wa tatu utakua,atabaki mmoja na mi nikamilishe Jambo langu!!Dear Money Penny
YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.
Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.
Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.
Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.
Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.
Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato
Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,
Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?
Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??
Wako
Eliza."
Jamaa. Eliza anaomba msaada huku
View attachment 2724672
Kuoa sio jambo la kipuuzi kabisa maua awezi kubari kua bimwishoš¤£š¤£Njoo nikuowe Mimi,Mke wa tatu utakua,atabaki mmoja na mi nikamilishe Jambo langu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wwe ulitaka huyo degree holder wako afanye kazi gani!!?? Kwa mfano!!??Dah Ila maisha sio poa ee
Degree holder anaendesha bodaboda[emoji24][emoji24][emoji24]
Tena WA chip UDSM
Watu kila mtu na degree yake we pambana na hiyo ya holderWwe ulitaka huyo degree holder wako afanye kazi gani!!?? Kwa mfano!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kila Jambo Lina wakati wake!!Kuoa sio jambo la kipuuzi kabisa maua awezi kubari kua bimwisho[emoji1787][emoji1787]
Niko na Yesu Baab, siolewi mke wa 2 wala wa 7Njoo nikuowe Mimi,Mke wa tatu utakua,atabaki mmoja na mi nikamilishe Jambo langu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
unayofanya weweWwe ulitaka huyo degree holder wako afanye kazi gani!!?? Kwa mfano!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
ushindwe kwa jina la YesuMuuwe
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Uko na bwana Yesu anakukata kiwiNiko na Yesu Baab, siolewi mke wa 2 wala wa 7
Duhushindwe kwa jina la Yesu
Hehe
Buzwagise š¤£š¤£š¤£hiiiHehe
duBuzwagise š¤£š¤£š¤£hiii
š¤£š¤£š¤£
Vpš¤£š¤£š¤£