knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,234
Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?
Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu,
Tafadhali Achana na kaka wawatu
Nenda katafute hao wenye magari unaowataka
Muache na bodaboda yake atapata mwanamke atake ridhika na kumpenda kweli bila kuona aibu idiot