Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?
Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu,
We NI kakake shetani auShetty hana shida msimsingizie
Aminaaaa,money unaprnda kuandika,
una kitu utafika mbali
Jamaan bodaboda kamzimia dada joblessTafadhali Achana na kaka wawatu
Nenda katafute hao wenye magari unaowataka
Muache na bodaboda yake atapata mwanamke atake ridhika na kumpenda kweli bila kuona aibu idiot
Mbona nidhamu ya woga?!avae miwani masuala ya kuangalia nani atanionaje ni mambo ya kiwaki yamepitwa na wakati.
dunian unakuja kivyako na unaondoka kivyako. akiona jau wahamie mkoa mwingine. na dawa rahisi ukiona mafanikio ya uliosoma nao wametoboa basi ni kukata nao mawasiliano. Hii ndo dawa inasaidia unakua hupati tena sonono.
Mama zenu zamani walianza maisha na baba zenu hawana hata nyumba. Wakapambana wote wakajenga na kununua vitu vingineWe NI kakake shetani au
Ila mpaka anunue bajaj, aingie Passo mpaka ford rangerChatGPT
Dear Eliza,
Nashauri uzingatie mambo muhimu zaidi katika uhusiano wako. Kipato na aina ya kazi siyo kila kitu. Ikiwa jamaa anakupenda kwa dhati, anakuokoa na anazingatia maadili yenu, hilo ni jambo la thamani. Ni muhimu kujadili wazi hisia zako na wasiwasi kuhusu hali ya kifedha. Kuaminiana na kujenga mawasiliano mazuri ni msingi wa uhusiano imara. Pia, fikiria kuhusu maisha yako pamoja na maamuzi yenu ya baadaye. Kama mnaweza kufanya kazi pamoja kuelekea malengo yenu, kipato chake kitapanda na mabadiliko mazuri yanaweza kutokea. Muhimu zaidi, fanya uamuzi kwa moyo wako na kwa mustakabali wenu pamoja.
Imebidi nikamuombe msaada ChatGPT.
Jamaan bodaboda kamzimia dada jobless
Yani wewe ndio haujui kabisaMama zenu zamani walianza maisha na baba zenu hawana hata nyumba. Wakapambana wote wakajenga na vitu vingine
Raha ya mali muwe mmechuma wote hata mwanamume atakuwa anakuheshimu ila ukimkuta navyo ndio mwanzo wa kufukuzwa na kabegi kako kanguo mkigombana
HahaahhaahMwambie eliza kanikera vibaya mnoo
Kwa hizi credit taratibu umeshaanza kumteka 😁money unaprnda kuandika,
una kitu utafika mbali
Mtatumika sana kwa sababu mnapenda sana pesa na maliYani wewe ndio haujui kabisa
Huyo bodaman akipata Akira tchaaap, Benki au serikalini akaingiza mil 3 Kwa mwezi
Lazima awatafute wanawake wote Dar Kwa hasira ya kuzipata hela na ulughalugha WA kushika hela ndefu
Mpaka aje atulie baadae sana
Hahaahhaah
Shemeji na bodaboda lako
Ngoja nitafute video ya renegade
wewe kama mdada mwenzake unamshaurije??Aminaaaa,
Kwanza tumsaidie Eliza na bwana wake WA BODABODA
Mwambie eliza kanikera vibaya mnoo
HApana kwa sababu mimi mhuni. Huwa siumizwi wala kufikirishwa na mafanikio ya waliokuwa washkaji. Mimi maisha nayachukulia simpo simpo kama kucheza draft hayanichanganyi kabisa. Yakinishinda narudi arumeru kuzika pumbu.Mbona nidhamu ya woga?!
Kwahiyo wewe umeenda kujificha msituni Kwanza au?!
Wewe umeshindwa kuniteka au hupendi nisifiwe?!Kwa hizi credit taratibu umeshaanza kumteka 😁