Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁

Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humuπŸ˜πŸ˜…πŸ˜… ?? Au Just I'd tuπŸ˜…πŸ˜…
 
Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁

Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humuπŸ˜πŸ˜…πŸ˜… ?? Just I'd tuπŸ˜…πŸ˜…
Humu ni wapi? wanawake waliojiandikisha hapa sio wakazi wa sehemu Fulani ni hao hao dada zako, shangazi zako, mama zako, unasoma nao, wapo wamejiandikisha kwa majina bandia huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…