Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

Mi hiyo kahawa ndio my favorite......
Menu nzito sana hiyo!!!! sisi watu wa imagination tunaona kuna ka kitambi hapo.
hahahahaha,nimekataa kitambi, hiyo kahawa huwa lzm niipate asubuhi na jioni kama sitakua kwenye viti virefu niko hm basi najichemshia hiyo kahawa
 
Wanalika ila ni watu wazima sana .Kuna mmoja mpaka nilizaa naye ila aliniboa,alikuja kunianika humu ndani ikawa kizaazaa.Alilalamika kwamba naichapa sana,anachoka mara nampiga yaani wee acha tu.
 
Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁

Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Au Just I'd tu😅😅
🌙Shiner vip tena bwashee...miezi hii unashine sana naona 😂
 
Back
Top Bottom