Kweli umelewa Bwashe mimi ni binti kiziwi, Binti wa zamani ni yule dada yetu mwingine . (Najitambulisha kama nimekutana na mzee amelewa) 😅😅Mhmmm mimi ni mlevi tu nisameheni🤣🤣
Ila binti wa zamani wewe🤔
Kumbe🤣🤣 pombe tamu bhna ,Binti wa zamani sijui katokeaje kwenye hii bia yangu ya 19🤣🤣Kweli umelewa Bwashe mimi ni binti kiziwi, Binti wa zamani ni yule dada yetu mwingine . (Najitambulisha kama nimekutana na mzee amelewa) 😅😅
ooh safi sana ,hata mimi bado sana,karibuMuda wangu wa kulala bado
Ngoja aje…Kumbe🤣🤣 pombe tamu bhna ,Binti wa zamani sijui katokeaje kwenye hii bia yangu ya 19🤣🤣
Ngoja nitoke kitandani nikachekee chooni 😂😂😂Kumbe🤣🤣 pombe tamu bhna ,Binti wa zamani sijui katokeaje kwenye hii bia yangu ya 19🤣🤣
Nimefika, mbona ni kama bwashee anataka kuzua taharuki 😆Ngoja aje…
Nipe kazi mzee😵Kazi ya kuanzia saa5 hadi saa6 hivi ndio ulale sasa.
Unaweza ukadhani unachati na mrembo kumbe NGAPULILA maisha ya kuzamia melini yana hatari kubwa.Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..😁😁
Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu😁😁
Je hili limewahi kutokea humu😁😅😅 ?? Au Just I'd tu😅😅
umeamkaje RafikiNiambie
Salama wewe je?umeamkaje Rafiki
mie niko salama kabisa,karibu kahawa ,RafikiSalama wewe je?
Asante kipenzi,,, ongezea hapo kikombe cha kahawa weka na maziwa kunywa kwa ajili yangu.mie niko salama kabisa,karibu kahawa ,Rafiki