Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
hapa kuna kahawa, kuna maziwa ya mudhish ya unga na cariba coco chocolateAsante kipenzi,,, ongezea hapo kikombe cha kahawa weka na maziwa kunywa kwa ajili yangu.
Basi kama vipi wakuchanganyie watengeneze Cafe Mocha kunywa kwa ajili yangu halafu unipe mrejesho.hapa kuna kahawa, kuna maziwa ya mudhish ya unga na cariba coco chocolate
hahahahaha,maana nachanganyaga mwenyewe ,nilete mrejesho kwanza au twende break ya lunch time?Basi kama vipi wakuchanganyie watengeneze Cafe Mocha kunywa kwa ajili yangu halafu unipe mrejesho.
Mrejesho muhimu,, ikifuatiwa na lunch time.hahahahaha,maana nachanganyaga mwenyewe ,nilete mrejesho kwanza au twende break ya lunch time?
kahawa ilikua tamu sana aisee, lunch time ,ugali nyama choma,kachumbari na maharageMrejesho muhimu,, ikifuatiwa na lunch time.
Mi hiyo kahawa ndio my favorite......kahawa ilikua tamu sana aisee, lunch time ,ugali nyama choma,kachumbari na maharage
hahahahaha,nimekataa kitambi, hiyo kahawa huwa lzm niipate asubuhi na jioni kama sitakua kwenye viti virefu niko hm basi najichemshia hiyo kahawaMi hiyo kahawa ndio my favorite......
Menu nzito sana hiyo!!!! sisi watu wa imagination tunaona kuna ka kitambi hapo.
sawa sawa nikutakie mchana mwema mtumishi.hahahahaha,nimekataa kitambi, hiyo kahawa huwa lzm niipate asubuhi na jioni kama sitakua kwenye viti virefu niko hm basi najichemshia hiyo kahawa
Ahsante, na wewe pia nikutakie mchana mwema,Mtumishi na Rafikisawa sawa nikutakie mchana mwema mtumishi.
Huyu si Lucas Mwashambwa jamani! Amekuruhusu kumpositi humu?
πShiner vip tena bwashee...miezi hii unashine sana naona πHata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..ππ
Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humuππ
Je hili limewahi kutokea humuππ π ?? Au Just I'd tuπ π
Tubless watu wajionee uumbaji πππWeka ushahidi hapa
Acha maneno yako wwπTubless watu wajionee uumbaji πππ